Acha kujichua anza nofap challenge ukiweza kufikisha siku 66 bila kujichua utaona mabadiliko ya awali hali ya kujiamini inaongezeka kama ulikua unaonea aibu mademu utashangaa unaongea nao huku una maintain eye contact wao ndo wataanza kuangalia pembeni kwa aibu.
Semen retention ina faida kubwa sana hata sauti itabadilika inakua ya kiume zaidi, hiyo asili pia ninayo ila sahivi nimeweza kuishinda japo haiwezi kuondoka yote kama ni asili yako.
Ukikosa sana aibu unakua mtu mpumbavu na aibu ikizidi sana pia inakua siyo fresh hasa kwa mwanaume