Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #121
Mara ya mwisho nilitongoza live 2015. Nikaapa sitarudia tena niliaibika sanaKwa jinsi unavyoelezea hizo aibu ulizonazo utafika kweli level ya kuitwa baba? Kama Una mpango wa kuwa na familia baadae anza kuchukua hatua ya kuukabili uoga wako na jifunze njia za kuearn confidence before people. Isijefikia kipindi hata unayedhania ndio ubavu wa future yako ukashindwa kumface achilia mbali utakapokuwa nae faragha nae😃😃