Msaada: Nina aibu kupita kiasi, nifanyeje kuondokana na hali hii?

jiamini jichanganye na waongeaji na wewe uwe mchangiaji.
kama ni mpandaji wa daladala ukipanda kaa siti ya kwenye injini kwa dereva ile inayotizama nyuma kaa watizame abiria ukiwaangalia na kutafakari usimwogope mtu akikuangalia kwa kustuka tabasamu ndio silaha.
 
Wakuu, sorry if I will sound weird, ila hakuna jinsi bora kusema labda naweza pata tiba.

Nifanyeje ili niweze kuondoa aibu? Mwanzo jilijua ni utoto itapotea with ages ila mpaka umri huu hali iko vilevile na ndio kwanza inazidi kukua.

Huwa nawaza hivi siku nafunga ndoa mimi nitafanyaje? Naamini kabisa sitaweza kusimama mbele za watu.

Hivi kuna jambo lolote naweza fanya ili kuondoa hali hii kweli? As a man hadi najikuta nahisi kuna kitu nimekosa.

Msaada tafadhali wa kimawazo.

Ni suala la kijenetiki au huenda ni tabia tu uliyojizoesha...

Kama no tabia basi waweza acha, ila kama ni suala la kijenetiki basi hakuna namna...
 
jiamini jichanganye na waongeaji na wewe uwe mchangiaji.
kama ni mpandaji wa daladala ukipanda kaa siti ya kwenye injini kwa dereva ile inayotizama nyuma kaa watizame abiria ukiwaangalia na kutafakari usimwogope mtu akikuangalia kwa kustuka tabasamu ndio silaha.
Dar hamna izo daladala siku hizi 😁😁
 
Nmeacha nmeyafunga mashuka hivi hotel pale nasikia wameogopa kuingia wameita polisi hapa n simu zinapigwa tu nami sipokei mpaka kesho asubuhi akili iwachemke kwanza ….

Mnanichaji 70k na manzi yenyewe haijaja😀😀
IMG-20240315-WA0009.jpg
 
Nmeacha nmeyafunga mashuka hivi hotel pale nasikia wameogopa kuingia wameita polisi hapa n simu zinapigwa tu nami sipokei mpaka kesho asubuhi akili iwachemke kwanza ….

Mnanichaji 70k na manzi yenyewe haijaja[emoji3][emoji3]
View attachment 2935419
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu mna ujinga mwingi
 
Wakuu, sorry if I will sound weird, ila hakuna jinsi bora kusema labda naweza pata tiba.

Nifanyeje ili niweze kuondoa aibu? Mwanzo jilijua ni utoto itapotea with ages ila mpaka umri huu hali iko vilevile na ndio kwanza inazidi kukua.

Huwa nawaza hivi siku nafunga ndoa mimi nitafanyaje? Naamini kabisa sitaweza kusimama mbele za watu.

Hivi kuna jambo lolote naweza fanya ili kuondoa hali hii kweli? As a man hadi najikuta nahisi kuna kitu nimekosa.

Msaada tafadhali wa kimawazo.
Una dem kweli Mkuu
 
Back
Top Bottom