Msaada: Nina aibu kupita kiasi, nifanyeje kuondokana na hali hii?

Msaada: Nina aibu kupita kiasi, nifanyeje kuondokana na hali hii?

Mimi kinachonisumbua kuanza kuongea mbele za watu hasa ikiwa kikao Rasmussen cha watu zaidi ya 20 hivi hasa kwa kusimama oyaaa nikiwa nimekaa chini naongea hata mbele ya watu 1000 confidence ya juu na nondo za kutosha ila tatizo nikisamama ila pia tatizo kwenye kuanza baada ya dakika moja nakuwa na confidence kilo 400.

Nishafundisha sana mbele za watu wazima na wanafunzi zaidi ya 100 ila kwenye kuanza tu moyo ndio hua unadunda ila nikishaingia jukwaani uwoga wote unapotea kama moshi in mid air.

Hii siipendi
 
😂 pole mkuu
Mimi ukiniona kama ni mpole na mwenye aibu ila chokoza nyuki ule asali.

Ukinichangamkia nakuchangamkia haswa and vice versa is true. Jichanganye na wadau kwenye banda umiza, vijiweni n.k itakusaidia sana vinginevyo kila litakaloongelewa utashindwa kuchangia na utaishia kujichekesha tu uongo na ukweli na kuitikia.
Nimeshagundua mpira unanifanya niongee ila nikitoka hapo narudi hali yangu ya zamani.
 
Mimi kinachonisumbua kuanza kuongea mbele za watu hasa ikiwa kikao Rasmi cha watu zaidi ya 20 hivi hasa kwa kusimama oyaaa nikiwa nimekaa chini naongea hata mbele ya watu 1000 confidence ya juu na nondo za kutosha ila tatizo nikisamama ila pia tatizo kwenye kuanza baada ya dakika moja nakuwa na confidence kilo 400.

Nishafundisha sana mbele za watu wazima na wanafunzi zaidi ya 100 ila kwenye kuanza tu moyo ndio hua unadunda ila nikishaingia jukwaani uwoga wote unapotea kama moshi in mid air.

Hii siipendi
 
Sema jamii inawapend sana watu quite

Sana sijisifii ila hata kwenye familia nakubalika sana huwa sina mambo mengi.
Kwa wanawake hua ni kamserereko
Observe...

 
Kwa wanawake hua ni kamserereko
Observe...

Huko staki kusema kabisa
 
Wakuu, sorry if I will sound weird, ila hakuna jinsi bora kusema labda naweza pata tiba.

Nifanyeje ili niweze kuondoa aibu? Mwanzo jilijua ni utoto itapotea with ages ila mpaka umri huu hali iko vilevile na ndio kwanza inazidi kukua.

Huwa nawaza hivi siku nafunga ndoa mimi nitafanyaje? Naamini kabisa sitaweza kusimama mbele za watu.

Hivi kuna jambo lolote naweza fanya ili kuondoa hali hii kweli? As a man hadi najikuta nahisi kuna kitu nimekosa.

Msaada tafadhali wa kimawazo.
Nakufundisha kitu kimoja simple sana.

Tafuta siku moja ya kuwa mtaani yani sehemu ambayo hujulikani.Piga msosi hapo wa nguvu anzisha Mada yoyote upoteze muda.

Hapo Sasa utahisi tumbo la kunya. Omba sehemu uwende ukanye. Ukifanya hivyo mara kadhaa aibu itakuondoka.

ONYO ISIWE SEHEMU YA BAR.
 
Back
Top Bottom