Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
umri wako tafadhali? ni muhimu kutoa ushauri kulingana na umri au rikaWakuu, sorry if I will sound weird, ila hakuna jinsi bora kusema labda naweza pata tiba.
Nifanyeje ili niweze kuondoa aibu? Mwanzo jilijua ni utoto itapotea with ages ila mpaka umri huu hali iko vilevile na ndio kwanza inazidi kukua.
Huwa nawaza hivi siku nafunga ndoa mimi nitafanyaje? Naamini kabisa sitaweza kusimama mbele za watu.
Hivi kuna jambo lolote naweza fanya ili kuondoa hali hii kweli? As a man hadi najikuta nahisi kuna kitu nimekosa.
Msaada tafadhali wa kimawazo.