bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Nikajua una appetite ya chakula cha usiku..! Huo ugonjwa wenu unaitwa mururu..ngoja wadau waje watusaidie shosti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua una appetite ya chakula cha usiku..! Huo ugonjwa wenu unaitwa mururu..ngoja wadau waje watusaidie shosti
Aise una minyoo wengi saaana aisee , tena wale warefu (tegu) aise tafuta dawa ya minyoo haraka sana , kula kitunguu swaumu kinasaidia mwenyewe nilikua hivyo ila baada ya hiyo dozi nikashangaa nimebadilika cause minyoo inakula chakula unachofeed ww then unaskia njaa ndani ya mda mfupi,
.Menya kitunguu swaumu punje kumi,
. Ziponde ponde kisha acha huo msagiko kwa dakika kumi ili iweze kurelease allicin ambayo ndiyo huua unwanted parasites tumboni except wale bacterias wanaohitajka kwenye digestive system ya mwanadamu.
. Then chota kijiko kimoja cha mezani huo mchanganyiko kisha angushia maji moto vugu kiasi kwny hivo vitunguu vikiwa kwny kijiko ili iwe rahisi kumeza
Then meza huo mchanganyiko fast usijiekee condition ya kutapika , after three minutes utapata burning sensation tumboni usiogope its cause of the gases zinazokua released na allicin,, so fanya hivo asubuhi ukiamka kabla hujala kitu then chill ata two hours ndio ule (tumia vitunguu saum hivyo on an empty stomach) mi nilitoa choo chote kwanza bfor sikutumia , ukitumia twice yani ukala leo lets say na kesho then hutakua na mnyoo ata mmoja na utakua na afya njema cause garlic help alot in our bodies ... Hope it helps you
karibu kufua tu ndo ipo tena nakupa na box la bazoka ili usile ovyoniajiri mkuu
nitakulipa vizuri ila tu ujue lazima ulipe kodi TRA pay as u earn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sijapanik siwezpanic !utanilipa sh ngap mkuu kwa kufua
Haaaaaaaaah hv hapa nina popcorn jaman nazifata mbali nyie, kuna kaka anazitengeneza nzuriii za tangawiz bas mie kila siku nikifika pale namwangaliaga tu ananifungia najisepesha !leo sijenda kazini huwz amini nimezifata mjini !uwiii !hapana sio kawaid jaman na wala sio minyoo !
kuna dada mmoja job yy halag kitu jaman zaid ya lunch !ananiambia nina PEPO niende naye kanisani hahahahahha !
Kwa mwili huo lazima ule ovyo ovyo miss.yaani huwezi amini nilitaka kuleta uzi kama huu.mimi simalizi masaa mawili bila kutafuna kitu.yaani nakula mdogomdogo kama mchwa.siwezi kula lisahani hilo.ila yaani nakula kula sana
What Causes Increased Appetite?Jaman nadhani kuna watu wa design kama yangu mie mbinti !Jamani mie nimekuwa napenda kula kula vitu viduchu duchu mnoo !yaani nahisi kuna kitu si bure ! imefikia hatua sikosi kitu cha kula kula, vitu navyopenda sana ni vya sukari sukari ubuyu, bites, popcorn za flavor nzuri na sukari !yaani niliamua kujitune nile matunda nikawa najihisi njaa tu, nikahamia kwenye maji nikaona uzushi yananifanya nile zaidi yaani nikikaa bila kula kula najihisi sipo okey kbs! sina mwili mkubwa sana but nanenepa kiwango cha lami
Nikiwa home weekend ndo kabisaaa !naingia kbs jikoni kupika pika napendelea zaidi kubake ,kufry na kutengeneza smoothies basi ikinijia picha ya samak/au nione nyama nzuri sehemu lazimaaa aisee nitajitahd nipate samaki, nyama nikaange nile, hapo saa 10 utanikuta jikoni natengeneza samosa za pilipili nile au nitatengeneza kitu chochote tu mradi niwe na vifaa !uwiii jamani mbona nahisi kuchoka na siipendi hii tabia?? na mume nimemuambukiza basi uwii nakesha jipikilisha tu !
Madaktari msaada wenu nawezaje acha hii tabia yaani nataka niwe nakula atleast mara 4 tu kwa siku !!!!!!!!!! nikate kabisa ice creams na mazaga zaga yake !nataman kuhamia kijijini ambapo hata unga wa ngano ni adimu au matunda yasiwepo !
cc Miss Natafuta aka miss papa!mpenda kula kama mie
Nauliza ile hamu ya kula tango(appetites) yetu nyingine ya shekhe kipozeo yenyewe haikusumbui..my ribs
Naongelea ambayo moja akiwa na njaa anamesa nyesake..![emoji41]hahaahahah ile ni PI