Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu...
Mkuu pole chukua unga wa mix ya mbegu za maboga mdalasini na asali chemsha kunywa walau vikombe 2 per day morn&Noon acha kukaa peke yako, kama una picha za ngono kwny devices yyte futa, jipe muda wa kukutana na washkaji piga stori nao fanya mazoezi kama upo Dar kimbia pale Tanzanite kila jioni au services road ya mlimani city hadi Ubungo Floyover kula ile mboga ya mix bamia nyanya chungu Eggplant 🍆 fanya hivi walau 1 month uje na mrejesho ukifeli hapa basi una kizizi
 
Ahsante sana kaka nitafanya na nitaketa mrejesho
 
Sikia Sasa kuanzia kesho acha kubeti,achana na forex trade,Anza kula miogo kumi asubuhi,kunywa maji mengi achana na pombe au sigara,mchana kula ugali na dagaa au tembele usiku,kula matunda matango karoti na tikiti tafuna na mbegu kesho nipe matokeo ili nikushauri zaidi,pia unaweza kutafuna karanga na mbegu za maboga nataka nijue wewe Ni mwanaume kwa asilimia ngapi,ukiweza kunywa na mchuzi wa pweza kabisa
 
 
tatizo huwa hawalisolve kwa njia uliotumia wewe jiongeze mbwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…