Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.

Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.

Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
TIBA YA NGUVU ZA KIUME
🌿MAHITAJI🌿
👉Kisenganyika
👉Lubung'wa
👉Msigi
👉Mtundwa

⚡Changanya dawa hizo kwa ujazo sawa
⚡Chukua kijiko kimoja Cha mchanganyiko wako koroga kwenye uji ama maji moto kikombe kimoja
⚡ Kunywa dawa hiyoo, fanya hivyo kutwa mara mbili.

Kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali wasiliana nasi
What's app/call
0656303019
~Chief Sang'ida .
 
hakuna tiba ya upungufu wa upungufu wa nguvu za kiume hakuna dawa utadanganywa tu na kuliwa hela
ukiona una tatizo hilo
fanya haya
moja badili mfumo wa kula anza kula vitu vya asili acha vitu vya kiwandani
pili fanya mazoezi wakati unafanya mazoezi pitia na mazoezi ya kegel kwa nusu saa kwa siku baada ya wiki moja utaona mabadiliko makubwa sana jiwekee matunda ndio sehemu ya chai kila siku
 
Back
Top Bottom