Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

Hapana wewe ndiye mwenye hilo tatizo usimsingizie rafiki yako,mazoezi tu ndiyo yatakuondolea haya madhila!

Siyo kila maradhi yanafaa kutumia dawa,ukosefu wa nguvu za kiume siyo maradhi useme utatumia dawa utulize maumivu ni ishu ya kisaikolojia na kukosa stamina so zingatia sana mazoezi hasa ya kukimbia yatasaidia utulivu wa akili na kuchangamsha mwili
 
Nguvu za kiume.
Achana na madawa hutopona utaongeza tatizo kikubwa acha nyeto wala kutomb kwa saivi, tenga miezi yako mi3 kula vizuri acha/punguza sukari, chumvi na mafuta fanya mazoezi piga kegel kunywa maji pata na usingizi wa kutosha.

Niamini mimi.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Rafiki ana shida kidogo ya nguvu za kiume hivyo anaomba kujua vidonge vipi vitamsaidia Kwa sharti la vidonge hivyo kutomletea pressure au kufanya macho yake yawe vibaya

Naomba mumshauri
yuko wapi sa namsubri hapa mda mref knyama

ok huo nao ulikua utan, tufanye kwanza awe amepima kua anaupungufu wa nguvu za kiume, sperm zinashida au n yeye ndio shda anakua na stress zngne plus kukamia mda wa mechi za kirafki.

kama hajafanya kpimo chochot dawa sio wali hazishibibshi atakunywa sana.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Rafiki ana shida kidogo ya nguvu za kiume hivyo anaomba kujua vidonge vipi vitamsaidia Kwa sharti la vidonge hivyo kutomletea pressure au kufanya macho yake yawe vibaya

Naomba mumshauri


Wengine ukute ni mwanamke uliwahi kutembea nae akakuroga ndio ikawa hivyo.
Kuna wanawake wa Roho mbaya sana na wivu wa kijinga na umaskini
 
Tafuta tiba ya kudumu kulingana na chanzo cha tatizo lako.Matatizo ya nguvu za kiume hutofautiana kulingana na vyanzo kwa kila mmoja.Tiba ya nguvu za kiume ni ile inayotibu chanzo cha tatizo na nguvu hurejea automatically!
Ili uweze kusaidika kwa urahisi unatakiwa kuweka wazi taarifa hizi;
Umri wako
Umri wa tatizo mpaka sasa
Majibu ya vipimo vyovyote( kama ulishapima).
Aina za tiba/ dawa ulizotumia mpaka sasa na kwa muda gani
Kama una magonjwa yoyote katika mwili.Kuendelea kumeza vidonge haitakusaidia,zaidi utaendelea kuimarisha tatizo.
Kama unahitaji tiba njoo kwenye dozi ila ni mitishamba
 
Back
Top Bottom