Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

Acha haraka, Komaa hivyo hivyo Waziri Ummy alikuombeeni zaidi ya bilioni moja kwenu nyie msio na nguvu za kiume. Kutafuta ushauri humu ni kujipotezea bahati ya pesa, wizara ya afya imetenga billions za shilingi kwa ajili yenu, mtafute waziri wa afya na yule wa ustawi wa jamii upige pesa kwanza.
 
Ahsante sana ndugu hivi waziri gwqjima ataumia jina gani humu?
 
Mmmh ila nyeto inasingiziwa sana 2005-24 nyeto na Piga na game kiukweli napeleka sana sijui watoto wa 2000 mnazipigaje 😅
 
Ahsante sana ndugu hivi waziri gwqjima ataumia jina gani humu?
Sijui ila wapo wenye ID yake humu utaipata. Bunge halija wasahau utapata pesa maana zilipitishwa kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume.
 
Back
Top Bottom