Seriuosly!
Nunua vitu vifuatavyo:
1. Asali lita 1
2. Kitunguu swaumu 1
3. Kitungu maji 1
4. Tangawizi size ya dole gumba
5. Unga wa karafuu vijiko 3 vya chakula
6. Unga wa mdalasini vijiko 3 vya kula
Vitwange na changanya na asali.
Weka kwenye bakuli.
Tumia kijiko cha chai kimoja mara tatu kwa siku, yaani asubuhi kabla hujala, mchana na jioni kabla hujalala.
Kama unaona kero ya kunukia vitunguu swaumu, unaweza ukawa unakunywa usiku tu kabla ya kulala.
Pia usile vitu vya sukari nyingi, mafuta mengi, bali tumia sana karanga mbogamboga na vingine vya mizizi na asili.
Utapiga mashine sana yaani!