Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

Nyeto haufanyi nguvu kupoteza watu wapepiga Hadi nyeto sita kwa siku,mazara ya nyeto ni uume kuregea Tena unakua mkubwa zaidi,kwa maana unazoea kupeka damu nyingi na moja ya kitu kinachofanya uume usimame ni damu kuwa nyingi kwenye uume .by street doctor
 
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.

Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.

Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
Oya tafuta hela jamaa, hilo tatizo halipo
 
Ni hofu zako TU Wala huna tatizo sema unawaza sana kusimamisha ndio maana anyway tenga mda jioni au asubuhi tembea angalau 1hr utakuwa poa
 
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.

Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.

Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
duuh ! dogo hii kitu mbona imekuwahi mno
nakushauri ukapime afya wajue ni madini gani umepungukiwa. mavitu mengi wanakushauri huku ni ya wazee wa 50+ na kuendelea ila siyo kwa kijana kama wewe
 
Ahsante yaloje hayo mazoezi?
Mkuu nenda hosptali ukamuone daktar coz hakuna ugonjwa wa nguvu za kiume ispokuwa kuna magonjwa ndy yanasababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, ukitibiwa hayo unarudi kwenye hali ya kawaida, epuka kutumia dawa kabla ya kumuona dokta na ogopa matapeli,
Kama unaswali uliza hapahapa nitakujibu hapahapa kwa faida ya wengine maan wahanga wapo wengi.
 
Ni hofu zako TU Wala huna tatizo sema unawaza sana kusimamisha ndio maana anyway tenga mda jioni au asubuhi tembea angalau 1hr utakuwa poa
haya ni mashauri kwetu wazee, 26 years old mwili unakuwa fresh kabisa. huu ni umri hata ukiona chupi au gauni kwenye kamba unadindisha
namshauri aone dactari au washauri nasaha
 
Back
Top Bottom