Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.

Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.

Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
Ukiwa na Hela itasimama tu tafuta hela Tena hata mtoto anaweza bembea
 
Kwa hiyo
Seriuosly!

Nunua vitu vifuatavyo:

1. Asali lita 1

2. Kitunguu swaumu 1

3. Kitungu maji 1

4. Tangawizi size ya dole gumba

5. Unga wa karafuu vijiko 3 vya chakula

6. Unga wa mdalasini vijiko 3 vya kula

Vitwange na changanya na asali.

Weka kwenye bakuli.

Tumia kijiko cha chai kimoja mara tatu kwa siku, yaani asubuhi kabla hujala, mchana na jioni kabla hujalala.

Kama unaona kero ya kunukia vitunguu swaumu, unaweza ukawa unakunywa usiku tu kabla ya kulala.

Pia usile vitu vya sukari nyingi, mafuta mengi, bali tumia sana karanga mbogamboga na vingine vya mizizi na asili.

Utapiga mashine sana yaani!

Kwa hiyo ukitwanga vitunguu maji na hiyo tangawizi maganda yanabakia kwenye huo mchanganyiko?
 
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.

Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.

Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
Miaka 26 hudindishi? OLEWA TU sasa ndugu
 
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.

Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.

Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
Pole sana. Dawa ipo na inapatikana
 
Back
Top Bottom