X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Remember this "the more you use it, it becomes bigger and stronger" sasa kama kitu huzitumii unategemea kitafanya kazi vizuri...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau hamjamboni nyote?
Rafiki ana shida kidogo ya nguvu za kiume hivyo anaomba kujua vidonge vipi vitamsaidia Kwa sharti la vidonge hivyo kutomletea pressure au kufanya macho yake yawe vibaya
Naomba mumshauri
Cc spoon fed raised Smart911Ngoja waje kukupa MWONGOZO
Mkuu mimi nina tatizo hilo toka utotoni nimekuja kugundua 2020 Dec bada ya kujaribu kwa mara ya 1 nkashindwa nilikwenda onana specialist doc nkapimwa nikaonekana sina shida wakanipa dawa inaitwa goat weed nkatumia lkn wap nimetumia dawa nyingi sana lkn hakuna matokeo ukienda kwa waganga wanakwambia una mdudu ila ukipewa dawa unapotumia mwanzo ukienda maliwaton kitu kina simama ila bada ya siku 3 kuendelea inakuwa mdebwedo na unakuwa bado unatumia dawa mpaka inaisha hakuna kituTafuta tiba ya kudumu kulingana na chanzo cha tatizo lako.Matatizo ya nguvu za kiume hutofautiana kulingana na vyanzo kwa kila mmoja.Tiba ya nguvu za kiume ni ile inayotibu chanzo cha tatizo na nguvu hurejea automatically!
Ili uweze kusaidika kwa urahisi unatakiwa kuweka wazi taarifa hizi;
Umri wako
Umri wa tatizo mpaka sasa
Majibu ya vipimo vyovyote( kama ulishapima).
Aina za tiba/ dawa ulizotumia mpaka sasa na kwa muda gani
Kama una magonjwa yoyote katika mwili.Kuendelea kumeza vidonge haitakusaidia,zaidi utaendelea kuimarisha tatizo.
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.
Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.
Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
Anza kufanya mazoezi(jogging,squats,kegel exercises,Glutes na lunges) kuweka sawa mzunguko wa damu wa mwili mzima, Anza kula pia vitu vinavyoboost testosterone mwilini na matunda kwa wingi.. zinagatia hayo plus kuiset akili yako uondoe uoga ulonao baad ya hapo utakaa sawa.Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.
Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.
Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
Fx n nomaaaSikia Sasa kuanzia kesho acha kubeti,achana na forex trade,Anza kula miogo kumi asubuhi,kunywa maji mengi achana na pombe au sigara,mchana kula ugali na dagaa au tembele usiku,kula matunda matango karoti na tikiti tafuna na mbegu kesho nipe matokeo ili nikushauri zaidi,pia unaweza kutafuna karanga na mbegu za maboga nataka nijue wewe Ni mwanaume kwa asilimia ngapi,ukiweza kunywa na mchuzi wa pweza kabisa
Kwa hiyo unataka mwwnaume asiye na uume siyo?mimi msaada wangu ni kua demu wako na nisikutangaze😂😂ayo mengine peleka kwa ma herbalist 🙌🏾🙌🏾
Sa utakuaje na nguvu za kiume?Dar es Salaam
VIAGRA INAPATIKANA WAPI,, NA INAUZWW SHINGAPI.¿Wakati unapiga puli machine ilikuwa vzr au ulikuwa unailazimisha?
Test kunywa viagra uone...ikiwaka piga zoez na kula vzr tu
Njoo na elf 20 nikupe formula umalize tatizo 0712505049Remember this "the more you use it, it becomes bigger and stronger" sasa kama kitu huzitumii unategemea kitafanya kazi vizuri...!
Mimi nguvu zangu zinanitosha sana...nikiongeza nitakuja mtu... ninaweza kulala na wanawake wanne Tena Malaya wazoefu na wote nikawamwaga kojoNjoo na elf 20 nikupe formula umalize tatizo 0712505049
...Ulipokuwa Ukipiga Nyeto ilikuwa ikisimama bila Wasiwasi ?Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.
Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.
Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
Tumia multi macaa wiki mbili tu shughuli imeisha unarud unakuwa mpya kabisaMimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.
Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.
Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
Inauzwa elfu 80 kikopo kimojaInauzwa wapi au kwenye maduka ya dawa za asili?
Daah wahuni sio watu nimecheka balaa..Dokta Wapi huyu Dawa yake aonyeshwe K TU kitu km Sumaku