Msaada: Nina madeni Lukuki nifanyeje.

T-future

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2017
Posts
544
Reaction score
284
Wakuu mambo vipi,

Asee nimejikuta ninamadeni kinoma ambayo kuelekea mwaka mpya sijayamaliza.

Yani unachukua loan pesa haionekani, biz znakuwa ngumu,

Ase nati zinakaza balaa,

Em tuleana mawazo,
 
Hauko peke yako mkuu! Ingekuwa madeni yanaonekana mwilini ungeshangaa unapishana na watu hawaoni hata njia yalivyo jaa mwili mzima!
Deni LA kuogopa ni la benk tu! Haya mengine ya mtaa kuna njia ya kuyamundu! Njoo PM nikusaidie wanaokudai hata vocha watakununulia wao Kwa huruma!
 
Nakuja pm hehehhe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…