Msaada: Nina madeni Lukuki nifanyeje.

Msaada: Nina madeni Lukuki nifanyeje.

Wakuu mambo vipi,

Asee nimejikuta ninamadeni kinoma ambayo kuelekea mwaka mpya sijayamaliza.

Yani unachukua loan pesa haionekani, biz znakuwa ngumu,

Ase nati zinakaza balaa,

Em tuleana mawazo,
Wengi wapatao mafaniKio huamini kua kurudi nyuma ni suala gumu sana, huku wakisahau kuwa nirahisi mtu mzima kuwa mlemavu kuliko Kiwete kutembea! Matatizo ni sehemu ya maisha kwani huwezi kula muwa bila kukuta fundo. Popote unapoanguka, inuka jiulize kipi kimekuangusha rekebisha kisha endelea na safari, ila kumbuka heri Ugali kwa chumvi kwenye amani kuliko wali nyama vitani, tuwe makini na maisha Tafakari chukua hatua.......2018
 
Kwa kuwa tunaishi kwa kukopa na ili uweze kukopesheka, kalipe tu hayo madeni ndiyo dawa yake.
 
Wengi wapatao mafaniKio huamini kua kurudi nyuma ni suala gumu sana, huku wakisahau kuwa nirahisi mtu mzima kuwa mlemavu kuliko Kiwete kutembea! Matatizo ni sehemu ya maisha kwani huwezi kula muwa bila kukuta fundo. Popote unapoanguka, inuka jiulize kipi kimekuangusha rekebisha kisha endelea na safari, ila kumbuka heri Ugali kwa chumvi kwenye amani kuliko wali nyama vitani, tuwe makini na maisha Tafakari chukua hatua.......2018
Asante sana mkuu
 
Madeni ni nuksi kubwa katika maisha haswa za watu sio benki
 
Kuna ofisi niliingia, jamaa wakawa wanazungumzia jinsi ya kuuza madeni yao Bank kisha wakope! Hebu fuatilia mkuu, uskute kweli madeni yanauzwa!
 
Kudaiwa ni jambo la kawaida kwenye maisha.hakikisha huna madeni yasiyo na tija.panga mpango endelevu wa jinsi ya kulipa madeni yako kidogokidogo.lipa kwa awamu.usilipe madeni kwa mkupuo.
 
Si wale waaajiriwa mkuu
 
Kudaiwa ni jambo la kawaida kwenye maisha.hakikisha huna madeni yasiyo na tija.panga mpango endelevu wa jinsi ya kulipa madeni yako kidogokidogo.lipa kwa awamu.usilipe madeni kwa mkupuo.
Asante mkuu. Helped.
 
Back
Top Bottom