Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,097
Wengi wapatao mafaniKio huamini kua kurudi nyuma ni suala gumu sana, huku wakisahau kuwa nirahisi mtu mzima kuwa mlemavu kuliko Kiwete kutembea! Matatizo ni sehemu ya maisha kwani huwezi kula muwa bila kukuta fundo. Popote unapoanguka, inuka jiulize kipi kimekuangusha rekebisha kisha endelea na safari, ila kumbuka heri Ugali kwa chumvi kwenye amani kuliko wali nyama vitani, tuwe makini na maisha Tafakari chukua hatua.......2018Wakuu mambo vipi,
Asee nimejikuta ninamadeni kinoma ambayo kuelekea mwaka mpya sijayamaliza.
Yani unachukua loan pesa haionekani, biz znakuwa ngumu,
Ase nati zinakaza balaa,
Em tuleana mawazo,