[emoji3] [emoji3] [emoji3] Mkuu umetisha! Umeeleza ukweli mtupu. Kwamba wengine hawaoni njiaHauko peke yako mkuu! Ingekuwa madeni yanaonekana mwilini ungeshangaa unapishana na watu hawaoni hata njia yalivyo jaa mwili mzima!
Deni LA kuogopa ni la benk tu! Haya mengine ya mtaa kuna njia ya kuyamundu! Njoo PM nikusaidie wanaokudai hata vocha watakununulia wao Kwa huruma!
Imekaa poa mkuuSawa wasa [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahaCheza biko wewe.... ijue nguvu ya buku😉
Cku iz wanadai ndg zake labda aache risala kabsaaZingizia umekufa uku ukifanya michakato ya kuhama apo ulipo
Japo marehem hudaiwa ila n Mara chache saaana...kuna mchz apa mtaan kwetu alifanikiwa
Afanye utaratbu huo aisee...hiv vyuma tunaingia navyo 2018Cku iz wanadai ndg zake labda aache risala kabsaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Cheza biko wewe.... ijue nguvu ya buku😉