[emoji3] [emoji3] [emoji3] Mkuu umetisha! Umeeleza ukweli mtupu. Kwamba wengine hawaoni njiaHauko peke yako mkuu! Ingekuwa madeni yanaonekana mwilini ungeshangaa unapishana na watu hawaoni hata njia yalivyo jaa mwili mzima!
Deni LA kuogopa ni la benk tu! Haya mengine ya mtaa kuna njia ya kuyamundu! Njoo PM nikusaidie wanaokudai hata vocha watakununulia wao Kwa huruma!