Msaada,nina mtoto mmoja ila kwa sasa kila nikishika ujauzito unatoka.

Msaada,nina mtoto mmoja ila kwa sasa kila nikishika ujauzito unatoka.

Anzia hapa, nenda na mumeo kwa specialist wa magonjwa ya wanawake....mpime group zenu za damu, from there Dr atawashauri cha kufanya
Tumeshapima Mme wangu ana AB+Mimi Nina A+tukaelezwa makundi haya hayana shida.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana kwa unayopitia.
Jaribu kuwaona wataalam wakupe ushauri au kama ni matibabu upatiwe.
Uwezekano wakupata mtoto baada ya Mimba kuharibika ni mkubwa usikate tamaa na pia zingatia Umri wako pia.
Kila la kheri.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Watakusaidia Kukuelewesha walionielewa kwani nahisi Wewe utakuwa ni ' Mgeni ' kwa GENTAMYCINE humu Jamvini.
GENTAMYCINE Mi namkubali sana kwa uchambuzi wa mambo NA wala mi c mgeni kwako,ila kwa hili sijakuelewa.nilikuwa nakufatilia sana kuhusiana na mada za kibiti
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana kwa unayopitia.
Jaribu kuwaona wataalam wakupe ushauri au kama ni matibabu upatiwe.
Uwezekano wakupata mtoto baada ya Mimba kuharibika ni mkubwa usikate tamaa na pia zingatia Umri wako pia.
Kila la kheri.
Nashukuru Nina miaka 28 naamini bado ninayo nafasi.MUNGU atanisaidia
 
natamani ingekuwa ni tunaonana hivi ndio maelezo yangeeleweka na ushauri, ila maamini hata huko uliko kuna madaktari hebu ulizia ulizia funguka kwa dokta vizuri akusaidie, ikishindikana kwa mmoja usikate tamaa tafuta dr mwingine. Maana humu kutumia maandishi ni uongo
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata tiba ninaimani hapa kuna watu wenye ujuzi na wataalamu wa masuala haya hivyo naombeni msaada.

Pole....
Nenda hospitali ya AgaKhan na muulizie Dk bingwa wa magonjwa ya kina mama anaitwa SHAFIQ,atatatua shida yako ikishindikana tutaamia tiba asilia itakubidi USAFIRI HADI KABUKU huko bila shaka utapona in shaa Allah...
 
Nenda kwa daktari umuelezee vizuri, zinatoka zikiwa na wiki ngapi, wiki zinaenda zinapungua au zinaongezeka.. zinatoka kwa style gani kwa maumivu au bila maumivu.. viumbe vinavyotoka vinachunguzwa kwa macho na sample kupelekwa maabara ? vina hali yoyoye isiyo ya kawaida ? umewahi kutoa mimba ukasafishwa hapo awali ? umewahi kufanyiwa upasuaji wowote kwenye via vya uzazi hasa shingo ya kizazi.? umewahi kuugua magonjwa yoyote ya uzazi ? una ugonjwa wowote sugu kama kisukari ? shinikizo la damu.?

Ukishamweleza yote hayo akamalizia na vipimo kama ultrasound na vingine vha maabara atakupa jibu
 
Sina uzoefu wa mambo ya gynaecology lakini ninaona private hospitals wenye matatizo kama yako wanapewa bed rest kwa muda mrefu sana
Upo sahihi hata Mimi nilikua na tatizo hilo kila nikishika zinatoka mimba tatu zote Ila mimba ya nne nilienda Hosptal nikaonana na gynaecology mmoja akaniweka bedrest hivi ninavyoongea Nina mtoto wa kwanza ana miezi sita sasa
 
Miscarriage inauma sana,,Ilimtokea mdogo Wang WA kike,nkagundua ALIPO KUWA ANAKAA na STRESS ZA MUMEWE ndo zilimfanya itoke . nkampanga mother akae nae mpk ajifungue na kweli. Akajfungua ka uncle ka kiume.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata tiba ninaimani hapa kuna watu wenye ujuzi na wataalamu wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
Nitafute nipate kukutibia upate kupona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Kuna rafiki yng mmoja mke wake alikua ana tatizo km hilo mimba5 zilitoka hadi akahisi kua anarogwa,ila akaja kukutana na doctor mmoja akamshauri kua mara mke wake atakaposhika ujauzito basi asifanye nae tena tendo la ndoa hadi atakapojifungua ikibidi watengane kwa muda.
Jamaa akafata huo ushauri na ss hv ana watoto wawili
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata tiba ninaimani hapa kuna watu wenye ujuzi na wataalamu wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
Pole sana ndugu kwa hilo unaweza kunitafuta ili niweze kukusaidia wasiliana nami kwa kunipigia simu ama what's app +255 655 821 550
daf73ff095a277ed2f88f070f8c11cad.jpg
 
Pole sana Mungu akusaidie maana nilivyobarikiwa uzazi imara na wa haraka natamani kuwabadilishia watu km wewe lkn ndo hivyo haiwezekani
 
Sijakuelewa hapa!
Ningeweza kumpa uzazi wangu ningempa sasa km hiyo bed rest inataka moyo sio kazi ndogi na nyingine ni km member flani kasema kuna jamaa yake mkeww kubeba mimba tu hawakuendelea kufanya tendo la ndoa mpk kujifungua

Habari km hizo zinaniumizaga sana lkn ndo hivyo Sina jinsi
 
Kuna rafiki yng mmoja mke wake alikua ana tatizo km hilo mimba5 zilitoka hadi akahisi kua anarogwa,ila akaja kukutana na doctor mmoja akamshauri kua mara mke wake atakaposhika ujauzito basi asifanye nae tena tendo la ndoa hadi atakapojifungua ikibidi watengane kwa muda.
Jamaa akafata huo ushauri na ss hv ana watoto wawili
Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom