GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijaelewa ulichomaanisha?
Tumeshapima Mme wangu ana AB+Mimi Nina A+tukaelezwa makundi haya hayana shida.Anzia hapa, nenda na mumeo kwa specialist wa magonjwa ya wanawake....mpime group zenu za damu, from there Dr atawashauri cha kufanya
Mimi no A+ Mme wangu NA AB+Una Group gani la Damu na Mmeo ana group gani la Damu? Kama Wewe ni O negative na Mmeo ni O Positive .. je Ulichomwa Sindano ya Ant D ?
Pole sana kwa unayopitia.Ndio
GENTAMYCINE Mi namkubali sana kwa uchambuzi wa mambo NA wala mi c mgeni kwako,ila kwa hili sijakuelewa.nilikuwa nakufatilia sana kuhusiana na mada za kibitiWatakusaidia Kukuelewesha walionielewa kwani nahisi Wewe utakuwa ni ' Mgeni ' kwa GENTAMYCINE humu Jamvini.
Nashukuru Nina miaka 28 naamini bado ninayo nafasi.MUNGU atanisaidiaPole sana kwa unayopitia.
Jaribu kuwaona wataalam wakupe ushauri au kama ni matibabu upatiwe.
Uwezekano wakupata mtoto baada ya Mimba kuharibika ni mkubwa usikate tamaa na pia zingatia Umri wako pia.
Kila la kheri.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata tiba ninaimani hapa kuna watu wenye ujuzi na wataalamu wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
Upo sahihi hata Mimi nilikua na tatizo hilo kila nikishika zinatoka mimba tatu zote Ila mimba ya nne nilienda Hosptal nikaonana na gynaecology mmoja akaniweka bedrest hivi ninavyoongea Nina mtoto wa kwanza ana miezi sita sasaSina uzoefu wa mambo ya gynaecology lakini ninaona private hospitals wenye matatizo kama yako wanapewa bed rest kwa muda mrefu sana
Nashukuru Nina miaka 28 naamini bado ninayo nafasi.MUNGU atanisaidia
Nitafute nipate kukutibia upate kupona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi MkavuKama kichwa cha habari kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata tiba ninaimani hapa kuna watu wenye ujuzi na wataalamu wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
Pole sana ndugu kwa hilo unaweza kunitafuta ili niweze kukusaidia wasiliana nami kwa kunipigia simu ama what's app +255 655 821 550Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata tiba ninaimani hapa kuna watu wenye ujuzi na wataalamu wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
Sijakuelewa hapa!Pole sana Mungu akusaidie maana nilivyobarikiwa uzazi imara na wa haraka natamani kuwabadilishia watu km wewe lkn ndo hivyo haiwezekani
Ningeweza kumpa uzazi wangu ningempa sasa km hiyo bed rest inataka moyo sio kazi ndogi na nyingine ni km member flani kasema kuna jamaa yake mkeww kubeba mimba tu hawakuendelea kufanya tendo la ndoa mpk kujifunguaSijakuelewa hapa!
Asante ndugu ntakutafutaPole sana ndugu kwa hilo unaweza kunitafuta ili niweze kukusaidia wasiliana nami kwa kunipigia simu ama what's app +255 655 821 550
Asante kwa ushauriKuna rafiki yng mmoja mke wake alikua ana tatizo km hilo mimba5 zilitoka hadi akahisi kua anarogwa,ila akaja kukutana na doctor mmoja akamshauri kua mara mke wake atakaposhika ujauzito basi asifanye nae tena tendo la ndoa hadi atakapojifungua ikibidi watengane kwa muda.
Jamaa akafata huo ushauri na ss hv ana watoto wawili