Miscarriage inauma sana,,Ilimtokea mdogo Wang WA kike,nkagundua ALIPO KUWA ANAKAA na STRESS ZA MUMEWE ndo zilimfanya itoke . nkampanga mother akae nae mpk ajifungue na kweli. Akajfungua ka uncle ka kiume.
Ningeweza kumpa uzazi wangu ningempa sasa km hiyo bed rest inataka moyo sio kazi ndogi na nyingine ni km member flani kasema kuna jamaa yake mkeww kubeba mimba tu hawakuendelea kufanya tendo la ndoa mpk kujifungua
Habari km hizo zinaniumizaga sana lkn ndo hivyo Sina jinsi