Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

Anza sasa hivi lift weight fanya kama unataka kuwa bodybuilder ... uta get in shape fasta.. usiwe kama washua wanaolipia gym membership halafu wanaenda kupiga selfi tu..

Ukianza kuvutia wanawake kwa body ,uje kulipa fadhila / consultation fee
Ha ha ha ha mkuu usijali ntalipa consultation fee Sasa mkuu lift weight ndio kitu gani
 
Nifanyaje Dada ushauri wako nimuhimu hapa
Cha kwanza rekebisha BP tumia dawa kama unaweza pia kunywa Asprin kuzuia stroke haya uyafanye kwa ushauri wa daktari.

Badilisha life style, kula sana mboga na matunda ikiwezekana samaki. Fanya mazoezi, tembea walau kwa lisaa moja kila siku.

PB ikiwa sawa unaweza kuacha dawa kwa ushauri wa daktari pia. Nunua mashine uwe unajichek pressure kila wiki.
 
Back
Top Bottom