malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Mwezi mmoja uliopita nilipima presha iko sawa tuKacheki Figo kama zipo sawa
Mkuu ndo nataka nianzeAcha wanga na sukari kabisa , anza kwenda gym lift weight, piga aerobics ndani ya miezi 3 utajihisi kama kijana wa miaka 23
Asante kwa ushauri ndo nataka kuanza nikishafungua ramadhaniFanya mazoezi mkuu...dawa za pressure mbaya zinaua figo.
Nifanyaje Dada ushauri wako nimuhimu hapaUna hatari kubwa ya kupata stroke
Asante kwa ushauriMtafute clinical dietitian akupangie mlo Na mazoezi
Anza sasa hivi lift weight fanya kama unataka kuwa bodybuilder ... uta get in shape fasta.. usiwe kama washua wanaolipia gym membership halafu wanaenda kupiga selfi tu..Mkuu ndo nataka nianze
Ha ha ha ha mkuu usijali ntalipa consultation fee Sasa mkuu lift weight ndio kitu ganiAnza sasa hivi lift weight fanya kama unataka kuwa bodybuilder ... uta get in shape fasta.. usiwe kama washua wanaolipia gym membership halafu wanaenda kupiga selfi tu..
Ukianza kuvutia wanawake kwa body ,uje kulipa fadhila / consultation fee
Cha kwanza rekebisha BP tumia dawa kama unaweza pia kunywa Asprin kuzuia stroke haya uyafanye kwa ushauri wa daktari.Nifanyaje Dada ushauri wako nimuhimu hapa
Kwa presha hii naweza fanya mazoezi yakukimbia bila shida presha isipande Zaid nkiwa nakimbiaCha kwanza rekebisha BP tumia dawa kama unaweza pia kunywa Asprin kuzuia stroke haya uyafanye kwa ushauri wa daktari...
Uzito wako ni kilo ngapi?Kwa presha hii naweza fanya mazoezi yakukimbia bila shida presha isipande Zaid nkiwa nakimbia
75kgUzito wako ni kilo ngapi?
Imenibidi nicheke kwa sauti kubwa,watoto kama wewe ni furaha maishani.kuna siku nimepiga viroba jogoo 7 nikaweka ugoro nikachkua kipimo cha dingi cha presha ikasoma 200/60