Msaada: Nina safari ya Dar-Tanga, nataka kutumia RAV4 old Model

Msaada: Nina safari ya Dar-Tanga, nataka kutumia RAV4 old Model

Asanteni waliochangia Nilifika salama jana na kesho natarajia kurudi Dar
 
Hio chuma unaweza ukakanyaga go and return bila kuipumzisha, sio gari ya kuwazia hio kama imekamilika. Tunatoa passo dar hadi rusumo bila mapumziko yasio na ulazima.
 
Back
Top Bottom