Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ni viungani mwa dar kaanga samaki, anza na vibua box nadhani ni 45000 wanapatikana ferry,
dagaa mfuko 7000 inayobakia ununue meza, karai, mafuta, chujio na chachandu.
Nidhamu ya pesa ni muhimu.
Duuuu! mi ushauri wako tuu!Subiri had mwezi wa nane tar 13 uanze kubet
Daah ebana eeh kama ulikuwa kwenye akili yangu vile, ilikuwa bado kidogo nimshaulli hivyo hivyoAuze bangi. Vitu vya magendo vinalipa sana
Nenda kibaha kanunue mboga za majani aina tofauti peleka soko la Ilala ukauze jumla
Nb; inabidi ulale kibaha ili asubuhi uwahi Ilala. ..kila mzigo wa elfu hamsini utakuingizia faida ya elfu 60
Kwahiyo ifikapo saa mbili asubuhi tayari utakuwa na 60 110,000/= kibindoni
Mshana 0718-654070 nebeep TAfadhali nikulize kituNenda kibaha kanunue mboga za majani aina tofauti peleka soko la Ilala ukauze jumla
Nb; inabidi ulale kibaha ili asubuhi uwahi Ilala. ..kila mzigo wa elfu hamsini utakuingizia faida ya elfu 60
Kwahiyo ifikapo saa mbili asubuhi tayari utakuwa na 60 110,000/= kibindoni
Poa ngoja kupambazukeMshana 0718-654070 nebeep TAfadhali nikulize kitu
Nunua bia unywe ucheze promotion ya tusker...Nina shilingi laki moja na nusu nataka kuifanyia biashara, ushauri nifanye biashara ipi?
mkuu hapo ilala soko ni uhakika?naomba unipe pa kuanzia kama hutojaliNenda kibaha kanunue mboga za majani aina tofauti peleka soko la Ilala ukauze jumla
Nb; inabidi ulale kibaha ili asubuhi uwahi Ilala. ..kila mzigo wa elfu hamsini utakuingizia faida ya elfu 60
Kwahiyo ifikapo saa mbili asubuhi tayari utakuwa na 60 110,000/= kibindoni