STRAGGLE MAN
JF-Expert Member
- Jan 10, 2018
- 698
- 613
Mkuu@Mzee Wa Kale Kabisa naomba ufafanuzi hapo maana mimi mwenyewe tatizo kwanguUnapiga chafya kwa sana?
Mkuu umetushtua wengi humu.. [emoji3] [emoji3]Ni moja ya dalili za awali za kuwa na HIV, umewahi kupima hivyo virusi?
ila huwa ni vumbi kuna kipiti nilienda hosp wakasema jiepushe sana na vumbi maana waliangalia FBP ndo wakanieleza na pia nguo sa manyoya achana nazo na harufu kali kama body spray pia kunywa maji sanaMi pia natatizo hilo miaka nenda miaka rudi,sijawahi jua tatizo ni nini
Sana hadi yanaboa dahtuko wengi