Msaada: Nina tatizo la kutoa manii (ku-ejaculate) kila nipatwapo na hofu

Msaada: Nina tatizo la kutoa manii (ku-ejaculate) kila nipatwapo na hofu

wengine wakiwa na hofu wanajikojolea (mkojo) ila wewe umeamua kuja kivingine!! Pole sana mkuu kwa tatizo lililo kukumba
 
Hio hali ni kawaida kwa mtu aliye timamu kiafya.

Endelea kujitunza hadi utakapoingia kwenye ndoa. Kamwe usijaribu kujichua. Fanya mazoezi ya mwili na usiache kufanya ibada. Hakikisha akili zako zinakuwa bize mbali na mambo yote yahusuyo ngono.
 
Nimesomaa mwanzo wa Uzi huu toka mwanzo na wachangiaji wake woootee sijaweza kuambulia kituu inawezekanaje ukapizi ukiwa katika mtihan icho kizaga kinasimama au vinatoka Kama usahaa tuu? Nyie vijana wa dot com inakuwajee asee me ndo nasoma Leo kitu Kama hiii au ni hizii chips fungaaa?
Hayo mambo ya kawaida,akaoe ttzo litaisha kaabisaa
 
Swali la kizushi mkuu.. huko kupizi kuna kua kumeambatana na climax au ni out of the blue tuuu unashangaa pwaaaaah?
nimesem sijawai fany mapenz so kuhus climax sielew unamaan gan ,, ebu nielezee labd nawz kukujib vzur
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] shukrani sana kwa kuleta Hill swali, sababu hii hali ilishanitokea nikiwa kwenye mitihani pia. Ila nilijipa majibu kuwa sababu ni.
1) muda wa mitihani kuisha halafu, najikuta maswali mengi nayajua.
2) kuwa na shauku ya kufanya maswali yote kwa wakati mmoja hasa unapoona maswali unayoyajua (unababaika)
NAMNA YA KUZUIA
1) Jifunze kupangilia muda kuendana na aina za maswali.
2) Chagua maswali unayoyajua kwa kila swali pangilia dondoo kwa penseli nyuma ya karatasi ya majibu (tumia dk 10 kumaliza kupanga)
3) Chagua uanze na swali lipi. Kisha baada ya kumaliza mtihani cancel zile dondoo kwa penseli kwa ruler kuanzia mwanzo /juu hadi chini kwenye kurasa husika ya dondoo.
Asant mlabata kwa ushaur,,lkn kwa sas sual la kupiz kweny mtihan lishaish ttzo lililopo kubwa kwa sas ni ndoto,, yani nikiota ndoto mbaya tu lazima mamb yajipe
 
nimesem sijawai fany mapenz so kuhus climax sielew unamaan gan ,, ebu nielezee labd nawz kukujib vzur
Ok hujawahi kufanya mapenzi na hujawahi kupiga punyeto but bila shaka wet dreams umepata pata kipindi una balehe... mm nauliza kale ka utamu kale kakujoa? huwa unakifeel kwa hayo mabao yako ya hofu?? Hope umenipata uzuri mkuu
 
Nimesomaa mwanzo wa Uzi huu toka mwanzo na wachangiaji wake woootee sijaweza kuambulia kituu inawezekanaje ukapizi ukiwa katika mtihan icho kizaga kinasimama au vinatoka Kama usahaa tuu? Nyie vijana wa dot com inakuwajee asee me ndo nasoma Leo kitu Kama hiii au ni hizii chips fungaaa?
Hapan mkuu sio tatzo chips funga,, kwanz sinaga mazoea kabsa na vitu km chips zangu ugali na dagaa tu mkuu!!!
 
Ok hujawahi kufanya mapenzi na hujawahi kupiga punyeto but bila shaka wet dreams umepata pata kipindi una balehe... mm nauliza kale ka utamu kale kakujoa? huwa unakifeel kwa hayo mabao yako ya hofu?? Hope umenipata uzuri mkuu
Yaap, huwa inatokea ivo
 
Hapan mkuu sio tatzo chips funga,, kwanz sinaga mazoea kabsa na vitu km chips zangu ugali na dagaa tu mkuu!!!
Apiaa Kama hujui utamuu wa kupiizi na Kama hujuii nan kakwambiaa Kama kutoa manii ndo kupizii??
 
Sijakuelewa mahali.

Kwa hiyo wakati wanaUKAWA wanatoka una-feel na ule msisimko/utamu au manii inatoka tu kama kamasi vile?
 
Yaap, huwa inatokea ivo
Sasa kwani we unapoteza nn wakati na utamu nao unapata... embrace tatizo lako mkuu wengine utamu huo wanaulipia 50 kwa bao moja, wengine mche wa sabuni!! Tulia jipatie utamu
 
Aisee pole sana mkuu but naomba nikutoe woga kitaalam hyo tunaita PHOBIA ila kwa zaid tafuta Psychologist wa karibu akusaidie.
 
Pole sana maana bora hivyo kuliko ungekua unatoa kinyesi
 
kichupa kimejaa mkuu mpaka kinajitapisha si mchezo
 
Apiaa Kama hujui utamuu wa kupiizi na Kama hujuii nan kakwambiaa Kama kutoa manii ndo kupizii??
Hahahaa,, nimesoma mkuu so nafahamu vyote isipokua ku practice tuu!!!
 
Wasalaam wanabodi!!!

Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, ndugu yenu nina tatizo la kujipizia hasa nikiwa na hofu kubwa. Hii hali ilinianza nikiwa kidato cha nne.

Nakumbuka nilikua nafanya mtihani muda ukaisha, mwalimu akaja kukusanya mitihani na jinsi mtihani ulivyokuwa mgumu halafu sijamaliza kwa hofu niliyokuwa nayo nikajikuta najipizia nikiwa nimkaa kwenye kiti.

Tangu kipind kile nilijitahidi sana hali hiyo isinitokee tena, bahati nzuri niliweza kujizuia but hali ilkuja tena kujirudia nikiwa form five lakini nilijitahidi sana siku hiyo sikupizi pia nilikuwa kwenye mtihani.

Sasa kinachonipa shida ni kuwa kwa sasa nikiwa nimelala nikiota ndoto mbaya lazima nijipizie(ni-ejaculate) na hii inanitokea mara kwa mara kwa wiki inaweza tokea hata mara 3.

Kwa kifupi ni kuwa sijawahi kupiga punyeto so sijui hata inavofanywa, pia sijawahi kufanya mapenzi na msichana hata mara moja, umri wangu ni miaka 22 kwa sasa.

Hapa najiuliza je hili tatizo ni kutokana na kutokufanya mapenzi ndio maana kitu kama hiki kinanitokea au ni psychological problem!??

Msaada ndugu zangu sina amani kabisa najihisi kama siko sawa kabsa!!!
ilinitokea mara mbili mara ya kwanza nikiwa nafanya mtihan wa geo wa necta form four na ikajirudia nilikuwa nafanya chemistry necta form six mara nying huja ukiwa na hofu fulan mfano mm nilikosea swal na mda ukibak kama dk 15 hv .ila baada ya kuejaculate inakuja akil na speed ya ajabu ya kufanya pepa na kumaliza na kufanya vzr sabb unapata reasoning moja kubwa sanaa
 
Aisee pole sana mkuu but naomba nikutoe woga kitaalam hyo tunaita PHOBIA ila kwa zaid tafuta Psychologist wa karibu akusaidie.
Sory mkuu cjakuelew umesem unitoe woga so hili ttzo ni la kawaida?
 
Nakumbuka nilivokuwa A level kuna mdada alisahau waleti yake darasan me nikaichukua na kupekua nikakuta efu 30 mwili ulisisimka had nikamwaga wazungu
 
Back
Top Bottom