Hayo mambo ya kawaida,akaoe ttzo litaisha kaabisaaNimesomaa mwanzo wa Uzi huu toka mwanzo na wachangiaji wake woootee sijaweza kuambulia kituu inawezekanaje ukapizi ukiwa katika mtihan icho kizaga kinasimama au vinatoka Kama usahaa tuu? Nyie vijana wa dot com inakuwajee asee me ndo nasoma Leo kitu Kama hiii au ni hizii chips fungaaa?
Miaka 22 akaoe aseee? Sibora sub shooterHayo mambo ya kawaida,akaoe ttzo litaisha kaabisaa
Asant mlabata kwa ushaur,,lkn kwa sas sual la kupiz kweny mtihan lishaish ttzo lililopo kubwa kwa sas ni ndoto,, yani nikiota ndoto mbaya tu lazima mamb yajipe[emoji122] [emoji122] [emoji122] shukrani sana kwa kuleta Hill swali, sababu hii hali ilishanitokea nikiwa kwenye mitihani pia. Ila nilijipa majibu kuwa sababu ni.
1) muda wa mitihani kuisha halafu, najikuta maswali mengi nayajua.
2) kuwa na shauku ya kufanya maswali yote kwa wakati mmoja hasa unapoona maswali unayoyajua (unababaika)
NAMNA YA KUZUIA
1) Jifunze kupangilia muda kuendana na aina za maswali.
2) Chagua maswali unayoyajua kwa kila swali pangilia dondoo kwa penseli nyuma ya karatasi ya majibu (tumia dk 10 kumaliza kupanga)
3) Chagua uanze na swali lipi. Kisha baada ya kumaliza mtihani cancel zile dondoo kwa penseli kwa ruler kuanzia mwanzo /juu hadi chini kwenye kurasa husika ya dondoo.
Ok hujawahi kufanya mapenzi na hujawahi kupiga punyeto but bila shaka wet dreams umepata pata kipindi una balehe... mm nauliza kale ka utamu kale kakujoa? huwa unakifeel kwa hayo mabao yako ya hofu?? Hope umenipata uzuri mkuunimesem sijawai fany mapenz so kuhus climax sielew unamaan gan ,, ebu nielezee labd nawz kukujib vzur
Hapan mkuu sio tatzo chips funga,, kwanz sinaga mazoea kabsa na vitu km chips zangu ugali na dagaa tu mkuu!!!Nimesomaa mwanzo wa Uzi huu toka mwanzo na wachangiaji wake woootee sijaweza kuambulia kituu inawezekanaje ukapizi ukiwa katika mtihan icho kizaga kinasimama au vinatoka Kama usahaa tuu? Nyie vijana wa dot com inakuwajee asee me ndo nasoma Leo kitu Kama hiii au ni hizii chips fungaaa?
Yaap, huwa inatokea ivoOk hujawahi kufanya mapenzi na hujawahi kupiga punyeto but bila shaka wet dreams umepata pata kipindi una balehe... mm nauliza kale ka utamu kale kakujoa? huwa unakifeel kwa hayo mabao yako ya hofu?? Hope umenipata uzuri mkuu
Apiaa Kama hujui utamuu wa kupiizi na Kama hujuii nan kakwambiaa Kama kutoa manii ndo kupizii??Hapan mkuu sio tatzo chips funga,, kwanz sinaga mazoea kabsa na vitu km chips zangu ugali na dagaa tu mkuu!!!
Sasa kwani we unapoteza nn wakati na utamu nao unapata... embrace tatizo lako mkuu wengine utamu huo wanaulipia 50 kwa bao moja, wengine mche wa sabuni!! Tulia jipatie utamuYaap, huwa inatokea ivo
ilinitokea mara mbili mara ya kwanza nikiwa nafanya mtihan wa geo wa necta form four na ikajirudia nilikuwa nafanya chemistry necta form six mara nying huja ukiwa na hofu fulan mfano mm nilikosea swal na mda ukibak kama dk 15 hv .ila baada ya kuejaculate inakuja akil na speed ya ajabu ya kufanya pepa na kumaliza na kufanya vzr sabb unapata reasoning moja kubwa sanaaWasalaam wanabodi!!!
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, ndugu yenu nina tatizo la kujipizia hasa nikiwa na hofu kubwa. Hii hali ilinianza nikiwa kidato cha nne.
Nakumbuka nilikua nafanya mtihani muda ukaisha, mwalimu akaja kukusanya mitihani na jinsi mtihani ulivyokuwa mgumu halafu sijamaliza kwa hofu niliyokuwa nayo nikajikuta najipizia nikiwa nimkaa kwenye kiti.
Tangu kipind kile nilijitahidi sana hali hiyo isinitokee tena, bahati nzuri niliweza kujizuia but hali ilkuja tena kujirudia nikiwa form five lakini nilijitahidi sana siku hiyo sikupizi pia nilikuwa kwenye mtihani.
Sasa kinachonipa shida ni kuwa kwa sasa nikiwa nimelala nikiota ndoto mbaya lazima nijipizie(ni-ejaculate) na hii inanitokea mara kwa mara kwa wiki inaweza tokea hata mara 3.
Kwa kifupi ni kuwa sijawahi kupiga punyeto so sijui hata inavofanywa, pia sijawahi kufanya mapenzi na msichana hata mara moja, umri wangu ni miaka 22 kwa sasa.
Hapa najiuliza je hili tatizo ni kutokana na kutokufanya mapenzi ndio maana kitu kama hiki kinanitokea au ni psychological problem!??
Msaada ndugu zangu sina amani kabisa najihisi kama siko sawa kabsa!!!
Umesomaa hadii utamuu we nomaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa,, nimesoma mkuu so nafahamu vyote isipokua ku practice tuu!!!