Msaada: Nina tatizo la kutoa manii (ku-ejaculate) kila nipatwapo na hofu

Swali la kizushi mkuu.. huko kupizi kuna kua kumeambatana na climax au ni out of the blue tuuu unashangaa pwaaaaah?
Kimberlite naona umefurahiiii....
Ukipizi, ukikojoa ndio climax yenyewe mkuu
 
Wewe nae unasubiri nini mda wote huo?Hebu safisha rungu lako bwana
 
Tafuta mnyama anaitwa komba, yuko kama kicheche ,ana sauti kama simba na ankaa sana pwani kwenye minazi. Chukua uume wake na moyo wake. Ukivipata hivyo nitafute pm
 
Kwa ninavyo fahamu ukiwa na hofu mtu hupoteza hisia sasa wewe una pizi tena! Ushauri mwone daktari sio swala la masihara
 
io ishu naielewa vizur infact namm nilkuw mhanga ilinpa shida sana kwenye mitihani mpka nilkuw napanic unakuta paper eazy tu lakn dah nafanya imladi nimalze fasta io hali isitokee ...bt saiz fresh naisi ukiwa na mpenz tatzo linapotea

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana kijana,ila usiwaze kwani ni suala la kawaida.
Nakumbuka nikiwa kidato cha tatu na cha nne katika mitihani ya mock,mazila kama haya yalinikuta.
Kwa matukio yote nilikuwa nikifanya mtihani wa basic mathematics na msimamizi alipokuwa akitangaza kwamba mda upo chini ya dakika tano nilijikuta na ejaculate.

Kiukweli feelings zinazokuwepo katika uume inakuwa kama unasex,sema tu mawazo ya mtihani ndo yana interfere.

Kabla ya mtihani wa kuhitimu kidato cha NNE,nilimtafuta Mwalimu wa kiume (alinifundisha biology) na kumuelezea kuhusu uhanga wangu.Mwalimu alinishauri zaidi juu ya kurelax na kupanga maswali ya kufanya katika mtihani ili nisijikute mwisho wa mtihani Nina mambo mengi.

Vile vile jitahidi kuvaa nguo ya ndani inayobana vizuri nyeti (japokuwa hii badae nilihisi ni psychological treatment).

Ni hivyo tu mkuu
 
Nashukur sana mkuu,, nitajitaid kufata ushaur , hopeful litaish kwangu piaa
 
Mmmh,,, huu ushauri c mchezo, so ni bora tu nianze kugegedan co!!
inabidi ufanye ivo kijana. wew hadi miaka 22 hujuwi utamu ukoje? hakuna kitu kitam Kama k****ma. nausipo fanya navo kwambia utakua muaga sana na madem.
 
Hilo siyo tatizo, tatizo ni ukiwa na hofu halafu unajamba.
Linganisha mwenyewe, kujamba ukiwa na hofu au kutoa manii ukiwa na hofu kipi bora?
 
inabidi ufanye ivo kijana. wew hadi miaka 22 hujuwi utamu ukoje? hakuna kitu kitam Kama k****ma. nausipo fanya navo kwambia utakua muaga sana na madem.
Hahahsaa,,kumb tamu eeh,, ila mkuu farudume unanifundsh tabia mbaya nishakuon wakt mm nilikatazwa na mama nisifany mpk nikiw mkubwa(joking)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…