malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
AsantePole mkuu
Pole mkuu... Ilo tatizo ulilonalo ndio husababisha io hali kutokana na kuwepo kwa hormonal imbalance... Endelea na matibabu yako, utakapo tibika ukakaa sawa basi na io hali itaisha..Habar wakuu msaada wenu tafdhali
Nimekua na tatizo la thyroids miez 7 sasa Niko ktk dozi....Hali imepekea kupungua sana kwa nguvu za kiume yaan shemeji yeni nkimuandaa Hali uume haujasimama ....
Uume ukisimama ukiingia ukeni pampu nne imelaliemo uume unalala ndani ya uke
Unaujua ugonjwa thyroid ya tezi shingi au goiterPona kwanza mkuu, hizo nguvu za kiume zitarudi ukipata hela
Mkuu hivi nikila vitasaidia maana nna ugonjwa thyroids hypor or hayper ambao umepelekea kuwa na upungufu wa nguvu zakiumeZoezi pia Tumia maji mengi pendelea virutubisho na punguza matumizi ya mafuta mengi pia tangawizi changanya na asali na kitunguu swaumu uwe unapata vijiko viwili asubui na jioni
Una comment nzuri aseee ☺️☺️☺️☺️☺️🤗Pole mkuu... Ilo tatizo ulilonalo ndio husababisha io hali kutokana na kuwepo kwa hormonal imbalance... Endelea na matibabu yako, utakapo tibika ukakaa sawa basi na io hali itaisha..
Ni vizuri pia kuongea na kupata ushauri kutoka kwa daktari wako,
jiandae kisaikolojia pia umjulishe mkeo juu ya sababu zinazopelekea kuwa na io hali...
Kwani thyroids huwq inatibika? Mbona hormones miez miwili iliyopita nilipima zilikaa sawa ila Bado shida ikawepoPole mkuu... Ilo tatizo ulilonalo ndio husababisha io hali kutokana na kuwepo kwa hormonal imbalance... Endelea na matibabu yako, utakapo tibika ukakaa sawa basi na io hali itaisha..
Ni vizuri pia kuongea na kupata ushauri kutoka kwa daktari wako,
jiandae kisaikolojia pia umjulishe mkeo juu ya sababu zinazopelekea kuwa na io hali...
Hapana mkuu, huko sipajui na sijawahi kufika kabisa walahiUnaujua ugonjwa thyroid ya tezi shingi au goiter
It is manageable .. Au upo kwenye treatment za aina gani mkuu?.. Ulipopata huduma hospitali uliambiwaje? Kwasababu ninavojua hyperthyroidism au hypothyroidism inasababisha io hali isipokuwa treated..Kwani thyroids huwq inatibika? Mbona hormones miez miwili iliyopita nilipima zilikaa sawa ila Bado shida ikawepo
Nimeotea tuu itakua.. Dont panic..😂Una comment nzuri aseee ☺️☺️☺️☺️☺️🤗
Hii ina hadi surgery mkuu.. Sijajua hali yako ni ya muda gani..Unaujua ugonjwa thyroid ya tezi shingi au goiter
Nilikua namumivu makali upande wakulia washingo joto Kali siwezi kulala mapigo yamoyo mwenda mbio kusweti..nlivoenda MNH nkachekiwa nkakutwa hormones ya t3 Iko high na tsh Iko below nkaambiwa nna hyperthyroidism..nkapewa dawa carbimazole nkatumia miez mitatu ...baada ya miez3It is manageable .. Au upo kwenye treatment za aina gani mkuu?.. Ulipopata huduma hospitali uliambiwaje? Kwasababu ninavojua hyperthyroidism au hypothyroidism inasababisha io hali isipokuwa treated..
Hali Ina miezi7 tangu nigundulike na huu ugonjwa nimegundulika nahuu ugonjwa mwaka Jana mwezi wa10Hii ina hadi surgery mkuu.. Sijajua hali yako ni ya muda gani..
Pona kwanza mkuu, hizo nguvu za kiume zitarudi ukipata hela
Hongera sana,, sasa Fanya mambo mengine ya msingi achana na papuchiHabar wakuu msaada wenu tafdhali
Nimekua na tatizo la thyroids miez 7 sasa Niko ktk dozi....Hali imepekea kupungua sana kwa nguvu za kiume yaan shemeji yeni nkimuandaa Hali uume haujasimama ....
Uume ukisimama ukiingia ukeni pampu nne imelaliemo uume unalala ndani ya uke
Habar wakuu msaada wenu tafdhali