BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Hilo ni tatizo la kisakolojia mkuu,nmefuatilia comments na mada zako za nyuma. Inaonyesha wazi unalo tatizo la nguvu za kiume hata kabla hujaleta mada ya kuumwa goiter.Nilikua namumivu makali upande wakulia washingo joto Kali siwezi kulala mapigo yamoyo mwenda mbio kusweti..nlivoenda MNH nkachekiwa nkakutwa hormones ya t3 Iko high na tsh Iko below nkaambiwa nna hyperthyroidism..nkapewa dawa carbimazole nkatumia miez mitatu ...baada ya miez3
kuja kupima Tena MNH nkakuta t3,t4 ziko normal ila TSH Iko high Iko nkaambiwa dawa zimenirudisha to hypothyroidism ....so nkapunguziwa dozi nkatumia baada ya miez miwili kuja kupima TSH,t3,t4 zote zikaja normal ndo tangu nimepima imepita miez 2 nasiku15
Ila Hali ya kukosa nguvu imekuepo kipindi chote Kuna wakati nafanikiwa sex vizir wakati mwingne nafeli kabisa nahamu imekua Sina ya sex naweza kaa wiki3 nkasex mara moja Tena kwakusua sua sana inasimama ikiwa ukeni ilala
Issue ya sex ni mindset mkuu, unahitaji kwanza kuiweka mental health katika hali nzuri,hyo hamu ya sex itakuja tu automatically