To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Kama yangu hii hapaUna comment nzuri aseee ☺️☺️☺️☺️☺️🤗
👇
Hauko peke yako mkuu,88% ya wanaume dushe imelala dolooo
NB:msinicourt vibaya sina uhakika 98%.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yangu hii hapaUna comment nzuri aseee ☺️☺️☺️☺️☺️🤗
🙄Kama yangu hii hapa
👇
Hauko peke yako mkuu,88% ya wanaume dushe imelala dolooo
NB:msinicourt vibaya sina uhakika 98%.
Atenelol/metoprolol/Carvediol/Propranalol nk.Baadhi ya dawa kama zipi hizo zabeter blocker zinaweza kuchangia tatizo la nguvu zakiume nidawa zipi hizo
Ktk hizo nilipewa propranalol sababu ya mapiga ya moyo kuwa juu nkatumia mwezi baada yamajibu namapigo ya moyo kuwa sawa dokta akanambia niache kutumiaAtenelol/metoprolol/Carvediol/Propranalol nk.
Inategemea kama kulikuwa na haja ya kutumia. Ingawa kama ulipewa hautakiwi kuacha, ni muhimu mpaka mambo ya homoni yakiwa sawa.
1: Zingatia tiba yako ya kurejesha homoni sawa kwani ndio chanzo.Mtaalamu wangu wa afya aliniambia tu tatizo hili pia linachangia upate shida ya kupungukiwa nguvu zakiume na libido kuwa chini hajanipa msaada nipeni msaada
Ktk hizo nilipewa propranalol sababu ya mapiga ya moyo kuwa juu nkatumia mwezi baada yamajibu namapigo ya moyo kuwa sawa dokta akanambia niache kutumia
Ni sawaNina mashine ya presha ambapo Kila baada ya siku tatu napima na mapigo ya moyo Yako normal hapa vip
Mkuu wewe una hypothyroidism ungekua na hyperthyroidism shem angeomba pooMkuu hivi nikila vitasaidia maana nna ugonjwa thyroids hypor or hayper ambao umepelekea kuwa na upungufu wa nguvu zakiume
Mlo kamili usioathiri tatizo la msingi nikama upi1: Zingatia tiba yako ya kurejesha homoni sawa kwani ndio chanzo.
2: Ni muhimu kuendelea mpaka mambo yawe sawa.
3: Fanya mazoezi mepesi/aerobics.
4: Zingatia mlo kamili, usioathiri tatizo la msingi.
5: Pata ushauri toka kwa mwanasaikolojia ili kukabiliana vyema na haya yote.
Mwanzoni kabisa wakati napewa majibu mlogazila daktar waliniambia Nina hyperthyroidism ila ashki zasex zilikuepo vizir mpaka kufikia miez 2 yakurumia dozi Sasa kurud clinic Tena kupimwa ugonjwa ukarudi to hypo ambayo hypo imesabishwa na dozi so daktar akarecormend ni scale range tu baadhi zilizokua normal zimeturn to high na baadhi zilizokua high zimeturn to low so acarecomend kupunguza dozi ili zije ziwe in normal range lakini ikiwa ni hypo due to doseMkuu wewe una hypothyroidism ungekua na hyperthyroidism shem angeomba poo
Ila usijali utakaa Sawa na mambo yatarud kama zaman
Pata nafasi ya kuonana na dietician kwa msaada zaidi.Mlo kamili usioathiri tatizo la msingi nikama upi
Jitibu KWA asali mbichi na maji moto mkuu!Nilikua namumivu makali upande wakulia washingo joto Kali siwezi kulala mapigo yamoyo mwenda mbio kusweti..nlivoenda MNH nkachekiwa nkakutwa hormones ya t3 Iko high na tsh Iko below nkaambiwa nna hyperthyroidism..nkapewa dawa carbimazole nkatumia miez mitatu ...baada ya miez3
kuja kupima Tena MNH nkakuta t3,t4 ziko normal ila TSH Iko high Iko nkaambiwa dawa zimenirudisha to hypothyroidism ....so nkapunguziwa dozi nkatumia baada ya miez miwili kuja kupima TSH,t3,t4 zote zikaja normal ndo tangu nimepima imepita miez 2 nasiku15
Ila Hali ya kukosa nguvu imekuepo kipindi chote Kuna wakati nafanikiwa sex vizir wakati mwingne nafeli kabisa nahamu imekua Sina ya sex naweza kaa wiki3 nkasex mara moja Tena kwakusua sua sana inasimama ikiwa ukeni ilala
Dahan
Sweetheart mawazo yako ni mazuri🤗🙏
Ila kuna sehem umeimiss kutoka kwa huyu Mgonjwa malembeka18 sorry tatizo alilonalo halihusiani na hormone imbalance🙅🙅🙅
Hypothyroidism anayosumbuliwa nayo imetokana na small gland iliyo located kwenye shingo zetu/yake na mda mwingine kwa Lugha ya Kitaalam iko na shape ya butterfly ikiwa highlated kwenye brain😊
Ambapo Meanwhile..at the base of the brain sits the pituitary gland.. which secretes the thyroid-stimulating hormone (TSH). TSH makes the thyroid produce and release thyroxine.. the main thyroid hormone and not hormone imbalance😊🙏
Nakuelewa sasa hapo tumia dawa ufike kwenye normal rangeMwanzoni kabisa wakati napewa majibu mlogazila daktar waliniambia Nina hyperthyroidism ila ashki zasex zilikuepo vizir mpaka kufikia miez 2 yakurumia dozi Sasa kurud clinic Tena kupimwa ugonjwa ukarudi to hypo ambayo hypo imesabishwa na dozi so daktar akarecormend ni scale range tu baadhi zilizokua normal zimeturn to high na baadhi zilizokua high zimeturn to low so acarecomend kupunguza dozi ili zije ziwe in normal range lakini ikiwa ni hypo due to dose
Ni vyema kujua kuwa asali ina Iodine ndani yake, madini ambayo ni muhimu kuchukuliwa kwa kiasi kwa mgonjwa wa aina hii. Ni kama unazima moto ukimwagilia matone ya petroli.Jitibu KWA asali mbichi na maji moto mkuu!
Yaani chemsha maji weka KWA chupa !
Chukua Kikombe cha nusu lita weka maji moto HADI kijae kias halafu weka vijiko vitatu au vinne vya asali changanya kunywa asubuhi na jioni ACHANA na sukari ya kawaida kabisa mkuu!utanishukuru baadae!
ACHANA na dawa hizo zitafanya sumu keep nao mwilini mkuu na utapata shida baadae!!
Kwaiyo mim natakiwa Nile vyakula vyenye iodine au visivyo na iodineNi vyema kujua kuwa asali ina Iodine ndani yake, madini ambayo ni muhimu kuchukuliwa kwa kiasi kwa mgonjwa wa aina hii. Ni kama unazima moto ukimwagilia matone ya petroli.
Kwaiyo mim natakiwa Nile vyakula vyenye iodine au visivyo na iodine