naa
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 791
- 1,074
Ulitumia dawa gani ndugu na kwa mda ganiMkuu kama t3 Iko juu hiyo ni overeactive na mim nilipimwa miez Saba iliyopita nkakutwa na t3 Iko juu nkaambiwa ni overeactive ngoja waje wataalamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitumia dawa gani ndugu na kwa mda ganiMkuu kama t3 Iko juu hiyo ni overeactive na mim nilipimwa miez Saba iliyopita nkakutwa na t3 Iko juu nkaambiwa ni overeactive ngoja waje wataalamu
Mkuu ninilitunia carbimazole na Bado naendelea nayo kutumia ni miez Saba sasa naitumia sema mim tezi inavimbeUlitumia dawa gani ndugu na kwa mda gani
Dawa ni carbimazole hapo,maana thyroid hormone zinatengenezwa nyingi sana.Level ya t3 ikiwa nyingi maana ake una hyperthyroidism,so its better utumie carbimazole.Mkuu me naomba msaada, nlienda kupima nikaambiwa t3 iko juu sana, walichek ultrasound ila wakasema tezi ziko normal size, ingawa mwenyewe naona kama upande mmoja umevimba, msaada nitumie dawa gani maana walinidirect niende kwa specialist wa hzo vtu ila bado uchumi haujakaa sawa [emoji17].
Hivi carbimazole inamaliza kabisa tatizo la hyperthyroidsmDawa ni carbimazole hapo,maana thyroid hormone zinatengenezwa nyingi sana.Level ya t3 ikiwa nyingi maana ake una hyperthyroidism,so its better utumie carbimazole.
Mkuu hivi carbimazole inamaliza kabisa tatizo la hyperthyroidsm?Dawa ni carbimazole hapo,maana thyroid hormone zinatengenezwa nyingi sana.Level ya t3 ikiwa nyingi maana ake una hyperthyroidism,so its better utumie carbimazole.
Inategemea na mtu,baadhi huwa inamaliza kabisa tatiizo na kuweka vizur level ya thyroid hormone kwanzia miez 12 hadi 18.Ikipita hiyo miezi bas ujue tatizo lako ni worse ,kuna watu wanatumia izo dawa for the rest of their life.Chamsingi fata dozi then baada ya huo muda nenda kapime tena level ya hormone zako.Hivi carbimazole inamaliza kabisa tatizo la hyperthyroidsm
Na thyroids noddles huwa zinapotea kweli?Inategemea na mtu,baadhi huwa inamaliza kabisa tatiizo na kuweka vizur level ya thyroid hormone kwanzia miez 12 hadi 18.Ikipita hiyo miezi bas ujue tatizo lako ni worse ,kuna watu wanatumia izo dawa for the rest of their life.Chamsingi fata dozi then baada ya huo muda nenda kapime tena level ya hormone zako.
Mara nyingi huwa hazipotei,zinahitaji treatment yake tena ambayo ni kutumia radioactive iodine either itakua kwenye mfumo wa vidonge au kama maji(hapo umconsult doctor wako),ambayo huchukua miezi miwili hadi mitatu.Ikishindikana hapo bas itabd ufanye surgery,lakn kama hnoddles hazikui sio lazima kufanya surgery.Na thyroids noddles huwa zinapotea kweli?
Mkuu tatizo langu limetokana na thyroids Sasa kitunguu swaumu kitibu thyroidsJitahidi Kila siku usikose kula kitunguu saumu na mtindi usiku japo punje 4.Ila ukiweza kukabiliana na kuzuiya mawazo kuhusu hiyo Hali basi utakuwa ushapona.
Hivi kazi ya Radioactive iodine nikufanyajeMara nyingi huwa hazipotei,zinahitaji treatment yake tena ambayo ni kutumia radioactive iodine either itakua kwenye mfumo wa vidonge au kama maji(hapo umconsult doctor wako),ambayo huchukua miezi miwili hadi mitatu.Ikishindikana hapo bas itabd ufanye surgery,lakn kama hnoddles hazikui sio lazima kufanya surgery.
Surgery ya kufanyaje kuitoa thyroids au vip je mgonjwa wa thyroids anaruhusiwa kula samaki na mayaiMara nyingi huwa hazipotei,zinahitaji treatment yake tena ambayo ni kutumia radioactive iodine either itakua kwenye mfumo wa vidonge au kama maji(hapo umconsult doctor wako),ambayo huchukua miezi miwili hadi mitatu.Ikishindikana hapo bas itabd ufanye surgery,lakn kama hnoddles hazikui sio lazima kufanya surgery.
Hivi kazi ya Radioactive iodine nikufanyaje
Surgery ya kuzitoa nodules,samaki na mayai unakula tu hazina madharaSurgery ya kufanyaje kuitoa thyroids au vip je mgonjwa wa thyroids anaruhusiwa kula samaki na mayai
Hapa nimekuelewa boss ubarikiwe sanaInasaidia kuzi shrink hizo nodules
Mkuu nilirudi pima Tena mwezi wa pili hormones zikawa level lakini still Bado nina tatizo la nguvu zakiume nakukosa libido hivi suluhisho lake nin hasa kwa uzoefu wakoSurgery ya kuzitoa nodules,samaki na mayai unakula tu hazina madhara
Na chumvi je zenye madini ya iodine nazo vipSurgery ya kuzitoa nodules,samaki na mayai unakula tu hazina madhara
Zinasaidia maaana tatizo ni iodine defficiencyNa chumvi je zenye madini ya iodine nazo vip
Mkuu samahani nataka kuelewa vizir nkiwa na hyperthyroidsm sio kwamba iodine ziko nyingne zaidZinasaidia maaana tatizo ni iodine defficiency