Msaada: Nina tatizo la Thyroids, nguvu za kiume zimepotea kabisa sina hamu ya kufanya mapenzi

Msaada: Nina tatizo la Thyroids, nguvu za kiume zimepotea kabisa sina hamu ya kufanya mapenzi

kama upo Kigoma njoo nikupe dawa itakusaidia japo inabidi kila baada ya miezi sita uwe unaitumia, ni dawa ya asili za kiarabu.
Niko tabora..dawa unatumia Kila baada ya miez6 kwa miaka mingap
 
Nilikua namumivu makali upande wakulia washingo joto Kali siwezi kulala mapigo yamoyo mwenda mbio kusweti..nlivoenda MNH nkachekiwa nkakutwa hormones ya t3 Iko high na tsh Iko below nkaambiwa nna hyperthyroidism..nkapewa dawa carbimazole nkatumia miez mitatu ...baada ya miez3
kuja kupima Tena MNH nkakuta t3,t4 ziko normal ila TSH Iko high Iko nkaambiwa dawa zimenirudisha to hypothyroidism ....so nkapunguziwa dozi nkatumia baada ya miez miwili kuja kupima TSH,t3,t4 zote zikaja normal ndo tangu nimepima imepita miez 2 nasiku15
Ila Hali ya kukosa nguvu imekuepo kipindi chote Kuna wakati nafanikiwa sex vizir wakati mwingne nafeli kabisa nahamu imekua Sina ya sex naweza kaa wiki3 nkasex mara moja Tena kwakusua sua sana inasimama ikiwa ukeni ilala
Umejaribu na kuchepuka? Mana sometimes ndani ya ndoa huwa unakuta ukipiga kimoja tu chali ila chepuka sasa, unapiga hadi goli 6
 
Hapa ndio shemeji yetu aishi ile kauli ya "katika shida na raha, katika ugonjwa na afya"! Muombe Mungu hiyo iwe kwenye fikra za shemeji.


Otherwise pole sana mkuu, endelea na tiba, utakaa sawa Insha Allah
 
Angalia pia prolactin, nayo ikiwa juu Kwa mwanaume inasababisha ED.Pia hawajakupa option ya kufanya surgery kama inawezekana?
Surgery naskia ukiitoa thyroid ndo unaishiwa kabisa nguvu zakiume maana wanasema utakua low metabolism mda wore sababu huna tezi ya thyroid
 
  • Thanks
Reactions: Mit
Kama unatumia levothyroxine tablets kaka itakusaidia chap sana
 
Hata hiyo sio mbaya,itakusaidia ila nimeshuhudia watu wanapona chap na levothyroxine
Wao walikuaje na uvimbe kabisa au uvimbe ulikua Bado .naje wao walikua na hormones kuzalishwa nyingi au zilikua zinazalishwa kidgo
 
Levothyroxine is a drug of choice,na kila mtu naona anapewa hii.unaweza ongea na doctor akubadilishie.Lakini check na prolactin ndugu. hii nayo ikipanda Kwa mwanaume anakua na dalili kama zako exactly.
Prolactin ikiwa juu dawa yake ni nin na nin chakufanya
 
Check pia na vitu vingine,waone madoctor tofauti tofauti,usichoke.kati ya hao mmoja atakuja na solution.pia ongea na mkeo kuhusu tatizo akupe support then tatizo utaona dogo.tena wala atakua hakusumbui kuomba unyumba.wanawake waelewa sana.hiyo itakupunguzia kuwaza kuhusu kumtimizia haja yake na atakuchukulia kama mgonjwa na kukuondolea stress.Nakutakia upone.
Asante kwa ushauri itabid nione madokta wangine sjui wahospital Gani maana niliona wamuhimbili mloganzila
 
Wanakupa dawa wengi najua wanapewa dawa Cabergoline inashusha prolactin levels to normal na unakua na nguvu kama kawaida tena.ila unatumia Kwa muda mrefu kidogo huku wakipunguza dose polepole mpaka pale watakapo ona haipandi Tena.
Normal prolactin inatakiwa iweje
 
Unahitaji kutatua suala la akili (saikolojia) likae sawa. Hii ni mada yako ya 2021.

Hahahaaaa, umefukunyua mpaka umepata muda alioleta uzi.

Huyo jamaa atakuwa anazipapasa kwa mkono mbususu bila kuzishughulikia.

Tumpe pole jamaa yetu. That's how life goes.

Mtu anaweza-be rewarded one thing by God and miss onother side.

Every thing happened on earth has a purpose.

Tumshauri jamaa yetu awatafune pweza/ngisi kwa wingi ili jagari yake iweze kuwa na stamina/nguvu ya kuchakata mambo yetu yale.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakupa dawa wengi najua wanapewa dawa Cabergoline inashusha prolactin levels to normal na unakua na nguvu kama kawaida tena.ila unatumia Kwa muda mrefu kidogo huku wakipunguza dose polepole mpaka pale watakapo ona haipandi Tena.
Ili kupima iyo prolactin natakiwa kuonana nadaktar anaehusika na nin hasa
 
Hahahaaaa, umefukunyua mpaka umepata muda alioleta uzi.

Aakuwa anapapasa kwa mkono tu.

Tumpe pole.

That's how life is.

Mtu anawezahbe rewarded one thing and miss other side.

Every thing happened on earth has a purpose.

Pweza/ngisi kwa nguvu tafuna.



Sent using Jamii Forums mobile app
Sjakuelewa hapa mkuu unamaanisha nin
 
Sijui madoctor lakini wewe nenda zote kama financially uko vizuri,tmj,aghakan,sijui kairuki nenda kote.na Kwa kila doctor fanya kama unamwona for the first time na usimwambie kama ulishawaona madoctor wengine au uko kwenye treatment.kwasababu dhumuni ni kujua wao watadetect kama walichodetect wa mwanzo based on symptoms utakazowaambia.hivi Mimi ndo nafanyaga.sianzi treatment yeyote bila kuona madactari zaidi ya watatu hasa kikiwa na tatizo kubwa.Omba kuonana na endocrinologist. Huu ni ushauri wangu tu wala sio mtaalamu.
Hapa itabid niende Tena regency,aghakan,TMJ mkuu financial sio mbaya sana kote naweza kwenda
 
Alafu hivi best endocrinologist wapo kweli wanaojulikana
 
Back
Top Bottom