malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
- Thread starter
- #81
Nguvu zimepungua zaid baada yakiwa na hili tatizo la THYROID niligundulika nna hyperthyroid baada yakuanza kutumia carbimazole miezi mitatu kurudi pima hospital hormones zingne zikarud normal zinnge zikawa high kwa nkaambiwa ungonjwa umerud to HYPOTHYROID due drugs Sasa hii thyroid ndo imeongeza shida ya nguvu zakiumePlease fanya hivyo kama unaweza,kwasababu issue hapa sio kukosa nguvu za kiume tu issue mfumo nzima wa mwili unaharibika,mwisho utakua unajiskia tu fatigue all the time, depressed, huwezi fanya KAZI zako za kawaida.maudhi yasio na mapango.maisha yanaweza kwenda south Kwa haraka sana.Nakutakia upone hata kupata nafuu tu.na hizo dawa ongea na Dr akubadilishie akupe hizo levothyroxine ujaribu.