Msaada: Nina tatizo la Thyroids, nguvu za kiume zimepotea kabisa sina hamu ya kufanya mapenzi

Mkuu nilirudi pima Tena mwezi wa pili hormones zikawa level lakini still Bado nina tatizo la nguvu zakiume nakukosa libido hivi suluhisho lake nin hasa kwa uzoefu wako
Hiyo ni hatari yan hormone ziko level alaf still una low libido!!!..Jaribu kufanya discussion na specialist wako ili ajue kama kuna matatizo mengine yanayosababisha low libido.Maana hapo tutaenda mbali sana maana kuna hizi autoimmune disorders huwa zinasasababisha fatigue na depression,mwishowe mtu anajikuta ana low sex drive.
 
Si una specialist wako lakini?
Ndio mlogaznila ila siunajua Tena hospital za umma yaan doctor unarud clinic mara ya tatu ila hajui historia ya ugonjwa wako unaaza kumuelezea upya afungue computer aangalie vipimo vilivyopita nikama unakua unaanza matibabu upya
 
Duh hapo ndo changamoto sasa kwa kwel
Ndio mlogaznila ila siunajua Tena hospital za umma yaan doctor unarud clinic mara ya tatu ila hajui historia ya ugonjwa wako unaaza kumuelezea upya afungue computer aangalie vipimo vilivyopita nikama unakua unaanza matibabu upya
 
pongezi kwako sister kwa marekebisho mazuri
 
samahani love lady hiv thyroid hormone ikiwa ina produce insufficient hormone si ndio tunaweza kusema thyroid hormone ime cause hormone imbalance yaan T3 na T4 haziko sawa au Sister hapo juu alielezaje?
 
Mungu atunusuru wahanga ni wengi lakini pia wasiojiweka wazi kwa hofu ni wengi zaidi na hofu ndio mchawi namba moja na mchawi namba mbili ni mwenza wako asipokuwa Faraja kwa tatizo ila anapokea kwa machungu na kuwa mwiba hasa akidhani anafanyiwa makusudi
 
Mkuu kwani we nimuhenga
 
Kwani we mkuu nimuhanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…