Msaada, Nina tatizo la uoga uliopitiliza

Anxiety ni ugonjwa kabisa ....nenda hospital kuna dawa watakupa .....utatumia zitakusaidiaa...shida kwenye ubongo......nacho hicho ni kichaa cha aina yake....
Kumbe na huu ni ugonjwa[emoji2955] Asante sana kwa kunifumbua mkuu[emoji1666]
 
Na hili ndo tatizo la malezi ya hivyo. Hata sisi wazazi wetu walikuwa wakali saana ila tulipewa kila kitu na mlo wetu ulikuwa mzuri na tulienda shule nzuri wakati huo boarding tangu primary.
Mimi mwenyewe nilikosa kujiamini hasa kuwa na mahusiano na wenzangu shuleni. Nikipata rafiki mmoja ndo huyo tu nang'ang'ana naye.
Mpaka leo nawaza kuhesabu marafiki nilionao hawazidi kumi na ni bibi. Malezi ya wazazi yanatutesa wengi.
 
Chanzo kikubwa ni malezi ya utotoni hasa kukaripiwa kupita kiasi, I mean ulikua unajazwa hofu sana, kosa kidogo adhabu nyingi especially below 6years. Suluhu ya kwanza ilikua ni hicho ulichokifanya yaani kua aware na changamoto uliyonayo, suluhu ya pili ni feel the fear and do it any way, jilazimishe kufanya unachokua unaogopa. Mfano upo class unafahamu jibu force kujibu, na ukijibu confidence inaongezeka, au umempenda bint force kumface dont care about outcome. Mwanzo wa kujiforce kufanya unachoogopa itakusumbua kidogo ila kadri siku zinavyokwenda huku ukiendelea na practices utaona improvement kubwa sana. I repeat again FORCE FORCE maana najua sio rahisi kwa mwanzoni. Suluhu nyingine muhimu jaribu kuielekeza concentration kwa wakati uliopo I mean don't focus on past (majuto/kipi ulikosea) also don't focus on future (hofu ya nini kitatokea baadae). Akili na mawazo yako yote yawe ktk kinachofanyika wakati uliopo kwa usahihi na nidhamu hata kama hakuna anayekuona, sio ile unafanya right things mbele ya macho ya watu ukiwa private unafanya tofauti. Fanya kile unachoamini ni sahihi kwako pasi kujali mtu anaonaje. Ukiweza kujifunza meditation pia itakusaidia katika changamoto yako. Sio ugonjwa, sio big deal ni kujitambua tu na zaidi kujikubali (kitu ambacho utotoni ulinyimwa).
 
Ukiwa na kibunda unakuwa na confidence ya hali ya juu...... so nakushauri ufokasi kwenye kibunda sjui unanielewa nikisema KIBUNDA.
 
Ukiwa na kibunda unakuwa na confidence ya hali ya juu...... so nakushauri ufokasi kwenye kibunda sjui unanielewa nikisema KIBUNDA.
Kibunda hakipatikani bila confidence, bila kuyakabili mazingira (kazi, biashara) In one way or another anahitaji kulifanyia kazi suala lake kwanza. Labda kama ana watu ambao watambeba kama mzigo na kumuweka kwenye kitengo/biashara yenye hela.
 
Kakamaa wewe kwanza sio lazima ujiite Benny boy,ukiitwa Benny exactly we wa kiume ukiweka boy we punga.
Wenzio tuko wabishi toka tunazaliwa mpaka mama na baba nawabishia vilevile ili tuelewane.
Mlinizaa wapi?
Lini?
Sa ngapi? Wakipishana lugha mi tayari waongo nyie😅.
Natania fuata juu huko.
 
Kibunda hakipatikani bila confidence, bila kuyakabili mazingira (kazi, biashara) In one way or another anahitaji kulifanyia kazi suala lake kwanza. Labda kama ana watu ambao watambeba kama mzigo na kumuweka kwenye kitengo/biashara yenye hela.
Naelewa mkuu apo nimempa ushauri in general tho kuna zile steps za kubuld self confidence kama;
1.kujikubali.
2.wearing proper clothes.
3.focus on your self.
4.set new goals.
5.speak positively to your self.
 
Face your fears,jichanganye ,jiamini,na jitahidi sana unapokuwa kwenye kundi la watu shiriki kikamilifu usipende kujifungia ndani wala kujihoji sana moyoni.
 
Naelewa mkuu apo nimempa ushauri in general tho kuna zile steps za kubuld self confidence kama;
1.kujikubali.
2.wearing proper clothes.
3.focus on your self.
4.set new goals.
5.speak positively to your self.
Sahihi mkuu…. Asisahau kuendelea kujaribu na kujaribu na kujaribu. Kuna mtu huko juu amesema kuforce nimemuelewa sana.
 
Unapiga nyeto?

Kama jibu ni ndio,acha mara moja.

Na je ulishakula mzigo?

Jipe dozi ya kula mzigo walau mara 1 kwa wiki. Na hakikisha huyo unaemla unamtreat kama object
 
Kuna mtu kwenye familia yako amekulea kimabavu iwe baba au mama, Na hizo ndo side effects za ukubwani.

Kwa dawa zipo za kuongeza homone ya serotonin iliyopungua kwenye mwili wako ; Escitalopram, Citalopram.
 
Sikiliza wana wanaokuambia hatua ya kwanza uache kujichua then me naongezea kwamba umalaya sio mchongo.... Usiwe na kasi utaharibu
 
Daaah mkuu ubarikiwe umeongea point kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…