Msaada, Nina tatizo la uoga uliopitiliza

Watu waliokulea mpaka unakuwa mkubwa watakuwa walikulea Kwa kukukaripia na kukugombeza hovyohovyo ndo maana unakuwa na hiyo hali. Fanya uchunguzi. Watoto wa wazungu Wanajiamini hata wanaweza kuimba mbele ya jukwaa kubwa la watu. Lakini watoto wa kibongo ni kukaripiwa Mda wote.
Hii nayo ni moja ya chanzo. Uko sahh sana
 
Kuna mtu kwenye familia yako amekulea kimabavu iwe baba au mama, Na hizo ndo side effects za ukubwani.

Kwa dawa zipo za kuongeza homone ya serotonin iliyopungua kwenye mwili wako ; Escitalopram, Citalopram.
Zinapatikana wapi mkuu?
 
Zinapatikana wapi mkuu?

Kwenye pharmacy kubwa kubwa. Ila kabla ya kununua nenda hospital daktari akucheki level yako kama ni kubwa au kidogo ndo atachagua akupe ipi kati ya hizo na kwa kiwango gani. Ila zinasaidia mno. Ndani ya mwezi tu.
 
Shukrani sana mkuu[emoji1666][emoji1666]
 
Malezi yanachangia kwa asilimia kubwa !! Haswa kipindi cha utotoni !!
 
Watu waliokulea mpaka unakuwa mkubwa watakuwa walikulea Kwa kukukaripia na kukugombeza hovyohovyo ndo maana unakuwa na hiyo hali. Fanya uchunguzi. Watoto wa wazungu Wanajiamini hata wanaweza kuimba mbele ya jukwaa kubwa la watu. Lakini watoto wa kibongo ni kukaripiwa Mda wote.
Achen hiz habar..wanangu wanapozingua nawafokea kishenzi. Sema pia na socialize nao vya kutosha ila sekunde wakizingua nawageuzia kibao na wako fresh tu. Na mimi nililelewa hivyo na sina shida hiyo.
 
miaka 22 bado mdogo usiwaze sana dogo utakaa sawa tu. ngoja mb.oo ianze kusumbua utawatafuta madem mwenyewe na kutongoza ovyoovyo laivu bila cheng na fulu kujiamini. ila acha au punguza kujichua (nyeto) kwanza
 
Aya bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom