Hii nayo ni moja ya chanzo. Uko sahh sanaWatu waliokulea mpaka unakuwa mkubwa watakuwa walikulea Kwa kukukaripia na kukugombeza hovyohovyo ndo maana unakuwa na hiyo hali. Fanya uchunguzi. Watoto wa wazungu Wanajiamini hata wanaweza kuimba mbele ya jukwaa kubwa la watu. Lakini watoto wa kibongo ni kukaripiwa Mda wote.