Msaada, Nina tatizo la uoga uliopitiliza

Ishu inaweza isiwe sex wala nyeto

Wapo watu wanakosa kujiamini sababu ya muonekano wao na bullying...

Mleta mada kama na wewe ni mhanga wa bullying ama kwa namna yoyote hujikubali kimuonekano....anza kwa kujikubali,ukijikubali mambo mengine yataanza kupotea taratibu
 
Pole sana ila dawa ya tatizo lako no wewe mwenyewe. Anza kujaribu kufanya vitu unavyoviogopa sana hata ukiogopa sana jilazimishe ufanye tu, Mwanzo itakuwa ngumu lakini itakusaidia and la mwisho si kwa umuhimu hakikiksha unapata demu ukimgonga mara moja tu mambo yataanza kujisawazisha yenyewe
 
Asante sana mkuu!!
 
Ubarikiwe sana mkuu.
 
Mkuu we uliponaje nisaidie tafadhali [emoji120]
Ukishajua wewe ni wewe na hayupo Mwingine kama wewe....ukifa unasahaulika....unaishi Mara moja na ukishakufa hutorudi tena.... Lazima utatambua thamani yako....MTU akikoroma koroma,akikutisha mtishe...kuwa Mwenye nguvu ....penye maneno mengi nyamaza ili utakapoongea lako liwafanye wanyamaze...simama kiume jiamini.....be a man.Dunia hii ni vita,yaan vitavita muraa.Shauri yako.
 
Yaan wengine wanaweza wasikuelewe kiundani kama nnavyokuelewa Mimi maana hayo maisha hata mm nimeyapitia na mpaka Sasa bado napambana nayo. Njoo PM tushauriane vizuri mdogo angu.. nimefanya tafiti nyingi sana namna ya kutatua Hilo tatizo huenda uzoefu wangu ukakusaidia, pole sana!
 
Asante kaka ngoja niku PM
 
Back
Top Bottom