kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Tupo wengi, unakumbuka walioshindwa kuapa mbele ya JPM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu!!Ishu inaweza isiwe sex wala nyeto
Wapo watu wanakosa kujiamini sababu ya muonekano wao na bullying...
Mleta mada kama na wewe ni mhanga wa bullying ama kwa namna yoyote hujikubali kimuonekano....anza kwa kujikubali,ukijikubali mambo mengine yataanza kupotea taratibu
Ubarikiwe sana mkuu.Pole sana ila dawa ya tatizo lako no wewe mwenyewe. Anza kujaribu kufanya vitu unavyoviogopa sana hata ukiogopa sana jilazimishe ufanye tu, Mwanzo itakuwa ngumu lakini itakusaidia and la mwisho si kwa umuhimu hakikiksha unapata demu ukimgonga mara moja tu mambo yataanza kujisawazisha yenyewe
Hiko ndo chanzo! Tiba yake fanya mara kwa mara vitu unavyoviogopa, ujitahidi kuchangia hoja kwa mdomo mbele za watu utazoeaYeah mimi ni first born lakini utakuta mama anakufokea maneno makali tena mbele za wadogo zangu [emoji17][emoji17]
Ukishajua wewe ni wewe na hayupo Mwingine kama wewe....ukifa unasahaulika....unaishi Mara moja na ukishakufa hutorudi tena.... Lazima utatambua thamani yako....MTU akikoroma koroma,akikutisha mtishe...kuwa Mwenye nguvu ....penye maneno mengi nyamaza ili utakapoongea lako liwafanye wanyamaze...simama kiume jiamini.....be a man.Dunia hii ni vita,yaan vitavita muraa.Shauri yako.Mkuu we uliponaje nisaidie tafadhali [emoji120]
Embu jaribu kumwambia "mama naomba usinifokee tena huku ukimtazama machoni tena serious! Wewe ni mwanaume lazima ajue umekuaYeah mimi ni first born lakini utakuta mama anakufokea maneno makali tena mbele za wadogo zangu [emoji17][emoji17]
😂umemalizia vizuri,utadhani upo kuandika essay,Kwahiyo bas!(don't feel bad nimeandika tu Kijana)Kwa hiyo basi nimekuja kwenu kuwaomba msaada hasa wa kimatibabu maana naamini humu wapo wengi wenye uelewa na tatizo hili.
Asante kaka ngoja niku PMYaan wengine wanaweza wasikuelewe kiundani kama nnavyokuelewa Mimi maana hayo maisha hata mm nimeyapitia na mpaka Sasa bado napambana nayo. Njoo PM tushauriane vizuri mdogo angu.. nimefanya tafiti nyingi sana namna ya kutatua Hilo tatizo huenda uzoefu wangu ukakusaidia, pole sana!