Msaada: Nina Tsh 15m, ninaweza kupata RAV4?

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
968
Wakuu, ninahitaji RAV4, kutoka Japan au hata katika Show rooms za hapa Tanzania.

Bajeti yangu ni Tsh 15m, je ninaweza kupata RAV4 ya aina yoyote ile? Iwe old au new model.

Pia naomba ushauri hata kama ni wa kunibadili mawazo kutoka RAV4 kwenda ktk gari nyingine yoyote.

Karibuni
 
Mie ninayo ya milango 3, kili time. Kama uko interested ni PM
 
Wakuu, ninahitaji RAV4, kutoka Japan au hata katika Show rooms za hapa Tanzania.

Bajeti yangu ni Tsh 15m, je ninaweza kupata RAV4 ya aina yoyote ile? Iwe old au new model.

Pia naomba ushauri hata kama ni wa kunibadili mawazo kutoka RAV4 kwenda ktk gari nyingine yoyote.

Karibuni
Nicheki Whastsaap 0718-654070
 
Wakuu, ninahitaji RAV4, kutoka Japan au hata katika Show rooms za hapa Tanzania.

Bajeti yangu ni Tsh 15m, je ninaweza kupata RAV4 ya aina yoyote ile? Iwe old au new model.

Pia naomba ushauri hata kama ni wa kunibadili mawazo kutoka RAV4 kwenda ktk gari nyingine yoyote.

Karibuni
Hiyo pesa inatosha sana kuagiza gari lako directly from Japan! Tulia, fanya research vizuri na uagize! Achana na madalali watakubambika mkweche kwa gharama kubwa kiasi kwamba ukimaliza miezi 6 na hill gari na wewe unakuwa Fundi magari! Ukiambiwa humu JF usisahau na kuchanganya na zako!
 
Hawezi pata RAV4 toka japan kwa bei hiyo. Ushuru kwa sasa ni balaa. Mikononi mwa watu unapata show room ongeza kidogo kwa milango 3 lakini. Milango 5 ni 18 hadi 38m
 
Fanya research kwanza mkuu kwa pesa hyoo utapata gari nzur tuu kutoka Japan.
 
Hiyo pesa inatosha sana kuagiza gari lako directly from Japan! Tulia, fanya research vizuri na uagize! Achana na madalali watakubambika mkweche kwa gharama kubwa kiasi kwamba ukimaliza miezi 6 na hill gari na wewe unakuwa Fundi magari! Ukiambiwa humu JF usisahau na kuchanganya na zako!
Asante sana kwa ushauri wako
 
Wakuu, ninahitaji RAV4, kutoka Japan au hata katika Show rooms za hapa Tanzania.

Bajeti yangu ni Tsh 15m, je ninaweza kupata RAV4 ya aina yoyote ile? Iwe old au new model.

Pia naomba ushauri hata kama ni wa kunibadili mawazo kutoka RAV4 kwenda ktk gari nyingine yoyote.

Karibuni
Usikariri kariri, RAV4 siyo gari zuri kabisa kwenye mafuta. Kwa hela yako hiyo hiyo unaweza pata gari zuri linalotumia mafuta kidogo na space ya kutosha. Fanya utafiti kwanza. Wenye RAV4 wengi wanajuta ila hawana jinsi.
 
Nimekutumia pm, lakini naona inagoma.
 
Usikariri kariri, RAV4 siyo gari zuri kabisa kwenye mafuta. Kwa hela yako hiyo hiyo unaweza pata gari zuri linalotumia mafuta kidogo na space ya kutosha. Fanya utafiti kwanza. Wenye RAV4 wengi wanajuta ila hawana jinsi.
Mkuu hebu tuanzie hapo kwa faida ya wengi... Anaweza kupata gari zenye Cc ndogo na space ya kutosha mbali ya hiyo Rav4.

Ni kweli mkuu anza kuzi-mention hizo gari ili tuutanue huu uzi mana jamaa kashasema hata akipata ushauri wa kumuamisha kutoka hilo wazo lake la Rav4 alilokariri mpk gari nyingine kwake ruksaa!!

Hii ni kwa faida ya wengine wenye interest na magari wapate cha kujifunza hapa na si kukurupuka.
 
Hiyo pesa inatosha sana kuagiza gari lako directly from Japan! Tulia, fanya research vizuri na uagize! Achana na madalali watakubambika mkweche kwa gharama kubwa kiasi kwamba ukimaliza miezi 6 na hill gari na wewe unakuwa Fundi magari! Ukiambiwa humu JF usisahau na kuchanganya na zako!
Point..

Mkuu mskze jamaa, sina gaja ya kuongeza neno
 
Hiyo pesa inatosha sana kuagiza gari lako directly from Japan! Tulia, fanya research vizuri na uagize! Achana na madalali watakubambika mkweche kwa gharama kubwa kiasi kwamba ukimaliza miezi 6 na hill gari na wewe unakuwa Fundi magari! Ukiambiwa humu JF usisahau na kuchanganya na zako!
Fanya research kwanza mkuu kwa pesa hyoo utapata gari nzur tuu kutoka Japan.
Ushauri wa ndugu hawa ni mzuri zaidi. Kwa kiasi hicho, unapata gari zuri sana Japan
 
Wakuu, ninahitaji RAV4, kutoka Japan au hata katika Show rooms za hapa Tanzania.

Bajeti yangu ni Tsh 15m, je ninaweza kupata RAV4 ya aina yoyote ile? Iwe old au new model.

Pia naomba ushauri hata kama ni wa kunibadili mawazo kutoka RAV4 kwenda ktk gari nyingine yoyote.

Karibuni

0715660068 call
 
Back
Top Bottom