Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndo unampa mwezaka mzoga kabisaaaaa.Nunua Nissan Xtrail hutajutia
Uwe makini za kuagiza ukiona ina bei ya chini kama $3,000 hadi $3,500 inaweza ikawa mbovu na ukifika hapa lazima utatumia zaidi ya pesa hizo kwa matengenezo. Gari kama RAV4 ya Japan ya mwaka 2003 above uwe na $ 6000 na kuendelea CIF Dar. Mimi nimeuza yangu TZS 11 m najuta... natakuwa niwe na kiasi cha atleast 23 m including taxesWakuu, ninahitaji RAV4, kutoka Japan au hata katika Show rooms za hapa Tanzania.
Bajeti yangu ni Tsh 15m, je ninaweza kupata RAV4 ya aina yoyote ile? Iwe old au new model.
Pia naomba ushauri hata kama ni wa kunibadili mawazo kutoka RAV4 kwenda ktk gari nyingine yoyote.
Karibuni
Asante sana ndugu yangukikaniki hebu jaribu kuingia Zoom Tanzania tumia link hii SUV & 4WD for Sale | ZoomTanzania
hapo utakutana na muuzaji direct na bei mtapatana
kama ni mgeni zaidi mtafute fundi kabla ya kununua lakini gari zipo tena kwa bei ya chini ya hela uliyonayo.
Ila km ukishindwa nenda yard ya Be Forward Ocean rd (Barrack Obama) kwa macho kapatane
lkn humu member anakuambia yeye ndio akuagizie sita kwanza mpaka ushindwe hatua hii niliyokupa
Hata mimi hiki kigari nimetokea kukipenda sana,hasa shape yake ingawa sijajua uimara wake.boraa tafta voltz ni nzuri kwa mafuta rav 4 zinakula mafuta saana may be upate ya cc 1700 ila rav 4 ya mwaka 98 ni ngum saana na ni nzuri ila cc yake ni 1900. tafta tafta Voltz mkuu
Wanaoifaham jaman hii Toyota voltz wajitokeze watueleze uimara wa hii gari..mana na Mimi pia nimetokea kuipenda hii gariHata mimi hiki kigari nimetokea kukipenda sana,hasa shape yake ingawa sijajua uimara wake.
Mkuu ulifanikiwa?Wakuu, ninahitaji RAV4, kutoka Japan au hata katika Show rooms za hapa Tanzania.
Bajeti yangu ni Tsh 15m, je ninaweza kupata RAV4 ya aina yoyote ile? Iwe old au new model.
Pia naomba ushauri hata kama ni wa kunibadili mawazo kutoka RAV4 kwenda ktk gari nyingine yoyote.
Karibuni
acha kumdanganya mwenzio hakuna Nissan mbovu kama Nissan Xtrail fanya utafiti utaniambiaNunua Nissan Xtrail hutajutia
Sasa si ungemtajia japo hizo aina zingineUsikariri kariri, RAV4 siyo gari zuri kabisa kwenye mafuta. Kwa hela yako hiyo hiyo unaweza pata gari zuri linalotumia mafuta kidogo na space ya kutosha. Fanya utafiti kwanza. Wenye RAV4 wengi wanajuta ila hawana jinsi.
Au aongezee achuckue tu roll's loyceacha kumdanganya mwenzio hakuna Nissan mbovu kama Nissan Xtrail fanya utafiti utaniambia
Hata mimi hiki kigari nimetokea kukipenda sana,hasa shape yake ingawa sijajua uimara wake.
Mkuu ulifanikiwa?
Au nunua Honda CRV, ni imara na nafuu.
Zipi rav 4.zina injini ya 1ZZ (cc 1760),ziko vizuri kwenye ulaji wa mafuta, otherwise unaongelea group la vits ya cc 990Usikariri kariri, RAV4 siyo gari zuri kabisa kwenye mafuta. Kwa hela yako hiyo hiyo unaweza pata gari zuri linalotumia mafuta kidogo na space ya kutosha. Fanya utafiti kwanza. Wenye RAV4 wengi wanajuta ila hawana jinsi.
voltz production yake si iliisha 2004?...ndio maana hamna model ya mbele yake..ninachojiuliza..spare zinapatikana..?nlishawahi kutaka nunua sema sjapata hayo majibu?boraa tafta voltz ni nzuri kwa mafuta rav 4 zinakula mafuta saana may be upate ya cc 1700 ila rav 4 ya mwaka 98 ni ngum saana na ni nzuri ila cc yake ni 1900. tafta tafta Voltz mkuu