Msaada: Nina Tsh 15m, ninaweza kupata RAV4?

Msaada: Nina Tsh 15m, ninaweza kupata RAV4?

ni kweli kaka
voltz production yake si iliisha 2004?...ndio maana hamna model ya mbele yake..ninachojiuliza..spare zinapatikana..?nlishawahi kutaka nunua sema sjapata hayo majibu?
ila spare zake zipo kibao saana kaka
 
Usikariri kariri, RAV4 siyo gari zuri kabisa kwenye mafuta. Kwa hela yako hiyo hiyo unaweza pata gari zuri linalotumia mafuta kidogo na space ya kutosha. Fanya utafiti kwanza. Wenye RAV4 wengi wanajuta ila hawana jinsi.

acha uongo na woga. mimi nina rav4 mbili moja auto milango 3 na manual milango 5. lita moja zinaenda zaidi ya km 12 na service ni matumizi yako, sana sana uzingatia kumwaga oil
 
Hawezi pata RAV4 toka japan kwa bei hiyo. Ushuru kwa sasa ni balaa. Mikononi mwa watu unapata show room ongeza kidogo kwa milango 3 lakini. Milango 5 ni 18 hadi 38m
Usimdanganye, milango 3 anapata toka Japan na chenji inarudi.
 
Back
Top Bottom