Nicheki Whastsaap 0718-654070Wakuu, ninahitaji RAV4, kutoka Japan au hata katika Show rooms za hapa Tanzania.
Bajeti yangu ni Tsh 15m, je ninaweza kupata RAV4 ya aina yoyote ile? Iwe old au new model.
Pia naomba ushauri hata kama ni wa kunibadili mawazo kutoka RAV4 kwenda ktk gari nyingine yoyote.
Karibuni
Hiyo pesa inatosha sana kuagiza gari lako directly from Japan! Tulia, fanya research vizuri na uagize! Achana na madalali watakubambika mkweche kwa gharama kubwa kiasi kwamba ukimaliza miezi 6 na hill gari na wewe unakuwa Fundi magari! Ukiambiwa humu JF usisahau na kuchanganya na zako!Wakuu, ninahitaji RAV4, kutoka Japan au hata katika Show rooms za hapa Tanzania.
Bajeti yangu ni Tsh 15m, je ninaweza kupata RAV4 ya aina yoyote ile? Iwe old au new model.
Pia naomba ushauri hata kama ni wa kunibadili mawazo kutoka RAV4 kwenda ktk gari nyingine yoyote.
Karibuni
Hawezi pata RAV4 toka japan kwa bei hiyo. Ushuru kwa sasa ni balaa. Mikononi mwa watu unapata show room ongeza kidogo kwa milango 3 lakini. Milango 5 ni 18 hadi 38mHiyo pesa inatosha sana kuagiza gari lako directly from Japan! Tulia, fanya research vizuri na uagize! Achana na madalali watakubambika mkweche kwa gharama kubwa kiasi kwamba ukimaliza miezi 6 na hill gari na wewe unakuwa Fundi magari! Ukiambiwa humu JF usisahau na kuchanganya na zako!
Asante sana kwa ushauri wakoHiyo pesa inatosha sana kuagiza gari lako directly from Japan! Tulia, fanya research vizuri na uagize! Achana na madalali watakubambika mkweche kwa gharama kubwa kiasi kwamba ukimaliza miezi 6 na hill gari na wewe unakuwa Fundi magari! Ukiambiwa humu JF usisahau na kuchanganya na zako!
Shukran sanaFanya research kwanza mkuu kwa pesa hyoo utapata gari nzur tuu kutoka Japan.
Ahsante for the cc bro!
Usikariri kariri, RAV4 siyo gari zuri kabisa kwenye mafuta. Kwa hela yako hiyo hiyo unaweza pata gari zuri linalotumia mafuta kidogo na space ya kutosha. Fanya utafiti kwanza. Wenye RAV4 wengi wanajuta ila hawana jinsi.Wakuu, ninahitaji RAV4, kutoka Japan au hata katika Show rooms za hapa Tanzania.
Bajeti yangu ni Tsh 15m, je ninaweza kupata RAV4 ya aina yoyote ile? Iwe old au new model.
Pia naomba ushauri hata kama ni wa kunibadili mawazo kutoka RAV4 kwenda ktk gari nyingine yoyote.
Karibuni
Nimekutumia pm, lakini naona inagoma.Wakuu, ninahitaji RAV4, kutoka Japan au hata katika Show rooms za hapa Tanzania.
Bajeti yangu ni Tsh 15m, je ninaweza kupata RAV4 ya aina yoyote ile? Iwe old au new model.
Pia naomba ushauri hata kama ni wa kunibadili mawazo kutoka RAV4 kwenda ktk gari nyingine yoyote.
Karibuni
Mkuu hebu tuanzie hapo kwa faida ya wengi... Anaweza kupata gari zenye Cc ndogo na space ya kutosha mbali ya hiyo Rav4.Usikariri kariri, RAV4 siyo gari zuri kabisa kwenye mafuta. Kwa hela yako hiyo hiyo unaweza pata gari zuri linalotumia mafuta kidogo na space ya kutosha. Fanya utafiti kwanza. Wenye RAV4 wengi wanajuta ila hawana jinsi.
Point..Hiyo pesa inatosha sana kuagiza gari lako directly from Japan! Tulia, fanya research vizuri na uagize! Achana na madalali watakubambika mkweche kwa gharama kubwa kiasi kwamba ukimaliza miezi 6 na hill gari na wewe unakuwa Fundi magari! Ukiambiwa humu JF usisahau na kuchanganya na zako!
Hiyo pesa inatosha sana kuagiza gari lako directly from Japan! Tulia, fanya research vizuri na uagize! Achana na madalali watakubambika mkweche kwa gharama kubwa kiasi kwamba ukimaliza miezi 6 na hill gari na wewe unakuwa Fundi magari! Ukiambiwa humu JF usisahau na kuchanganya na zako!
Ushauri wa ndugu hawa ni mzuri zaidi. Kwa kiasi hicho, unapata gari zuri sana JapanFanya research kwanza mkuu kwa pesa hyoo utapata gari nzur tuu kutoka Japan.
Wakuu, ninahitaji RAV4, kutoka Japan au hata katika Show rooms za hapa Tanzania.
Bajeti yangu ni Tsh 15m, je ninaweza kupata RAV4 ya aina yoyote ile? Iwe old au new model.
Pia naomba ushauri hata kama ni wa kunibadili mawazo kutoka RAV4 kwenda ktk gari nyingine yoyote.
Karibuni