Msaada: Nina upepo tumboni (gesi) hautaki kuondoka

Sanda-CR7

Senior Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
101
Reaction score
72
Asalam aleykhum wana JF Doctor ninatatizo la kushindwa kusimamisha uume vizuri, ninapotaka kufanya jimai au ninapoona kishawishi chochote kitachonipelekea kupata hisia za mapenzi uume husimama kamba haujadimama bara bara unakuja muungurumo was ndani kwa ndani katika tumbo.

Hivyo najamba na kiume kusinyaa na hamu yote inapotea, kuhusu matibabu nimetumia dawa za kisunna nyingi na Kali kwa kuondoa hiyo gesi pia nimetumia dawa za waganga wa kiswahili pia nimetumia dawa za hospital zote hizo zimeshindwa kunisaidia kuondoa hili tatizo.

Huhusu vipimo vya hospital nitawatajia vipimo viwili vikubwa nilivyopimwa muhimbili maana katiki hizi Amana, Temeke Kairuki dar Group Hospital nimepima vipimo vidogovidogo vingi vyote havikuonesha tatizo lolote katika tumbo, Muhimbili nimepima vipimo viwili ambavyo ni COLONOSCOPY na ODG majibu ya vipimo hivi nayo hayajaona tatizo, kupitia jukwaa hili naimani kuwa nitapata ushauri wa nini cha kufanya mpaka hapa nilipofikia katika kutafuta tiba ya tatizo langu
 
Mkuu pole kwa hayo maradhi yako nitafute mimi nipate kukutibia unasema gesi lakini sio gesi peke yake madamu umepima hospitali hawaoni kitu basi itakuwa sio gesi peke yake kama unavyohisi wewe kuna na mengine unayo siwezi kusema hapa jukwaani nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia ili uweze kupata kupona. Ukitaka Tiba toka kwangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Mkuu umeona conclusion iliyotelewa na madaktari wa muhimbili kutoka katika vipimo vya colonoscopy.Ni diet and exercises mkuu unajua vyakula vya kukoboa sana navyo husababisha gesi na tumbo kuunguruma
Nikweli mkuu ila hii yangu ni zaidi ya hapo kwani kujakwake ni baada ya uume kutaka kusimama
 
Daah hii endoscop nikiikumbuka nilivyofanyiwa muhimbili na Dr.Ng'wanasayi[emoji27] [emoji27] sina hamu kabisaaaa....iskie tu hiyo kitu[emoji119] [emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiumwa mkuu hunajinc madr wanakufanya wanavyotaka
 
Mkuu, endelea kumsikiliza Dr. Edwin, huyo ni bobezi wa mambo hayo (profesa). Ulipata bahati ya kufika Muhimbili na kuonana na mtaalamu husika wa tatizo lako otherwise ungeishia kuonana na wanafunzi kila ukienda...Dokta mzuri, atumia takribani dakika 20-30 kukusikiliza na kudadisi tatizo lako. Fuata ushauri wake.
 
Cjakuelewa vizuri mkuu huyo Dr mbobezi namsikilizia wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…