Asalam aleykhum wana JF Doctor ninatatizo la kushindwa kusimamisha uume vizuri, ninapotaka kufanya jimai au ninapoona kishawishi chochote kitachonipelekea kupata hisia za mapenzi uume husimama kamba haujadimama bara bara unakuja muungurumo was ndani kwa ndani katika tumbo.
Hivyo najamba na kiume kusinyaa na hamu yote inapotea, kuhusu matibabu nimetumia dawa za kisunna nyingi na Kali kwa kuondoa hiyo gesi pia nimetumia dawa za waganga wa kiswahili pia nimetumia dawa za hospital zote hizo zimeshindwa kunisaidia kuondoa hili tatizo.
Huhusu vipimo vya hospital nitawatajia vipimo viwili vikubwa nilivyopimwa muhimbili maana katiki hizi Amana, Temeke Kairuki dar Group Hospital nimepima vipimo vidogovidogo vingi vyote havikuonesha tatizo lolote katika tumbo, Muhimbili nimepima vipimo viwili ambavyo ni COLONOSCOPY na ODG majibu ya vipimo hivi nayo hayajaona tatizo, kupitia jukwaa hili naimani kuwa nitapata ushauri wa nini cha kufanya mpaka hapa nilipofikia katika kutafuta tiba ya tatizo langu