Msaada: Ninafika kileleni ndani ya dakika 1

Pole sana mkuuu najua itakuwa inakufanya ujihisi una matatizo lakin inaonekana unatumia style inayokupa 100% stimulation jaribu kuchange style mbali mbali.... kuna hizi hapa zitakusaidia nazo

1... Jaribu kutumia Usalama au Condom itakusaidia sana kuregulate stimulation yako
2... ukiona unakaribia kupiga bao kandamiza Perineum kwa kidole.Hili ni eno liloko baina ya korodani na tundu la haja kubwa.sehemu hii ikindamizwa huweza kuzuia mbegu zisitoke haraka angalia kwa umakini hii picha hapa chin

3...Ebu punguza wasiwasi mana hapo umeshajingea imagenation kuwa utamwaga haraka ona tendo kama jambo la kawaida sana alafu usifanye haraka haraka tararitibu kama kobe utaenda umbali mrefu pia Jaribu Kufake Hisia kwamba haufanyi ngono

4. Ukiona unakaribia kufika mshindo kawaida korodani zinatabia ya kupanda juu jaribu kuzivuta chini hufanya mwanaume kuanza hisia upya na upya wake ukiona hapo kumeshindikana basi tafuta dawa mim najua mbili tu kuna

paroxetine, na clomipramine na anesthetic creams hii cream inapakwa kwenye kichwa cha ume kupinguza stimulation wengine wataongezea pole sana kwa ttz lako
 
Du! kumbe ni kazi kwel kwel! sipati picha wakati wa shughuli ndani ya sekunde 60 jamaa anaanza kujivuta korodani mara ajibonyeze karibu na matako.... yaani full pilika... ha ha ha haaa nimecheka tena leo
 
hahahaha una mambo wew mtoto ....Kamwe huwezi kufanya vyote simultaneously lazima unajaribu kimoja kimoja
 
Hilo ni tatizo la kisaikolojia ulilonalo,nenda kaonane na Daktari kwa msaada zaidi.
 
Du! kumbe ni kazi kwel kwel! sipati picha wakati wa shughuli ndani ya sekunde 60 jamaa anaanza kujivuta korodani mara ajibonyeze karibu na matako.... yaani full pilika... ha ha ha haaa nimecheka tena leo
hi hii............kaaazi kweli kweli
 
hahahaha una mambo wew mtoto ....Kamwe huwezi kufanya vyote simultaneously lazima unajaribu kimoja kimoja

mkuu tatizo umempa solution zote kwa mara moja.
Kuna hati hati mwenzio aka resort to medicine drinking na sijaribu kufanya hiyo exercise hapo juu.
Luku vere next time.
Hata hosp huwa wanatoa dozi moja ikishindwa ndo wanakupa superior dosage.
 
Thanks For Correction Bro nafikiri jamaa atakuwa amesikia mana atapia hizi maoni huku chini mkuu shukrani sana mkuu hekimatele
 
Last edited by a moderator:
huna tatizo inawezekana huyo mwanamke anajua mambo sana viono kama feni lazima umalize mechi mapema kama tyson
 
Wakuu Nashukuru sana kwa michango yenu asanteni
 
jifunze kubana pumzi wakati unapoelekea kumwaga

pia kuna dawa ya vidonge vinne tu na unakunywa mara moja tu kwa maisha yote itakusaidia fanya uni PM
 
jifunze kubana pumzi wakati unapoelekea kumwaga

pia kuna dawa ya vidonge vinne tu na unakunywa mara moja tu kwa maisha yote itakusaidia fanya uni PM

Nitafanya hivyo mkuu.
 
Du! kumbe ni kazi kwel kwel! sipati picha wakati wa shughuli ndani ya sekunde 60 jamaa anaanza kujivuta korodani mara ajibonyeze karibu na matako.... yaani full pilika... ha ha ha haaa nimecheka tena leo

kwahiyo wewe tatizo la mwenzio ni furaha kwako?siku ukipatwa tatzo mtu akakucheka utajisikiaje?fikiria dada
 
Mimi hasa bao la kwanza nikiona kwa mbali linakuja then nahamisha akili Yangu kabisa naipeleka kwenye kitu ambacho hakihusiani kabisa na tukio lile kama mechi ya mpira ambayo timu Yangu imefungwa...au tukio lolote tu basi hapo naweza kwenda hata dakika 20 kwa style hiyo
 
Tumia kitu cha konyagi before mechi then uje utoe feedback.
 
Vyakula vinavyotibu tatizo la nguvu za kiume ni pamoja na vifuatavyo:

1. Kitunguu swaumu
Chukuwa punje 8 mpaka 10 hivi za kitunguu swaumu, menya na uzikate vipande vidogo vidogo kisha meza na maji vikombe 2 kutwa mara 2 kwa mwezi mmoja. Soma hii => [Kitunguu Swaumu Hutibu Magonjwa 30].

2. Tikiti maji
Kula tikiti maji kila siku huku ukitafuna na zile mbegu zake, fanya hivi siku zote. Soma hii => [Faida 13 za Tikiti Maji Kiafya].

3. Ugali wa dona
Kula ugali wa dona kila siku. Ni mhimu kuachana na mazoea ya kula ugali wa sembe. Ugali wa dona una virutubisho vingi na mhimu kwa ajili ya afya ya mwanaume. Kama ugali wa dona unakukera jaribu kufanya hivi, chukuwa mahindi kilo 10 ongeza ngano kilo 3 na usage kwa pamoja, ugali wake huwa ni mlaini, mzuri na mtamu na unaweza kula na mboga yoyote tofauti na lile dona la mahindi peke yake. Fanya hivi katika familia yako kwa maisha yako yote.

4. Chumvi ya mawe
Chumvi ya mawe ya baharini ile ambayo haijasafishwa au haijapita kiwandani ina mchango mkubwa sana katika kutibu tatizo hili. Tumia chumvi hii kwenye vyakula vyako kila siku. Soma hii => [Ukweli kuhusu Chumvi na Maajabu yake].

5. Maji ya kunywa
Kunywa maji ya kutosha kila siku bila kusubiri kiu. Kila mtu anahitaji glasi 8 mpaka 10 za maji kila siku. Maji ni mhimu katika kuongeza damu, kusafisha mwili na kuondoa sumu mwilini. Soma hii => [Jitibu kwa kutumia maji mp3].

6. Mbegu za maboga
Ziloweke katika maji yenye chumvi, zikaushe. Zikaange kidogo bila kuziunguza. Tafuna mbegu 30 kutwa mara 3 kwa muda wa mwezi mmoja. Mbegu hizi sifa yake kubwa ni kuongeza wingi wa mbegu za kiume (manii), kama unatatizo la kuwa unatoa manii machache (low sperm count) basi hii ni mhimu sana kwako.

7. Asali na Mdalasini
Chukuwa lita moja ya asali safi ya asili ambayo haijachakachuliwa, ongeza vijiko vikubwa 4 vya mdalasini ya unga changanya vizuri pamoja. Lamba kijiko kimoja kikubwa cha chakula kila unapoenda kulala. Fanya hivi kwa mwezi mmoja. Soma hii => [Asali na Mdalasini].

8. Unga unga wa udishe
Unga unga wa mti wa udishe ni mzuri sana katika kutibu tatizo la nguvu za kiume na pia unasaidia sana kwa wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume lililosababishwa na kujichua au kupiga punyeto kwani huimarisha sana mishipa ya uume. Udishe inapatikana pia katika mfumo wa juisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…