Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuuu najua itakuwa inakufanya ujihisi una matatizo lakin inaonekana unatumia style inayokupa 100% stimulation jaribu kuchange style mbali mbali.... kuna hizi hapa zitakusaidia nazo
1... Jaribu kutumia Usalama au Condom itakusaidia sana kuregulate stimulation yako
2... ukiona unakaribia kupiga bao kandamiza Perineum kwa kidole.Hili ni eno liloko baina ya korodani na tundu la haja kubwa.sehemu hii ikindamizwa huweza kuzuia mbegu zisitoke haraka angalia kwa umakini hii picha hapa chin
![]()
3...Ebu punguza wasiwasi mana hapo umeshajingea imagenation kuwa utamwaga haraka ona tendo kama jambo la kawaida sana alafu usifanye haraka haraka tararitibu kama kobe utaenda umbali mrefu pia Jaribu Kufake Hisia kwamba haufanyi ngono
4. Ukiona unakaribia kufika mshindo kawaida korodani zinatabia ya kupanda juu jaribu kuzivuta chini hufanya mwanaume kuanza hisia upya na upya wake ukiona hapo kumeshindikana basi tafuta dawa mim najua mbili tu kuna
paroxetine, na clomipramine na anesthetic creams hii cream inapakwa kwenye kichwa cha ume kupinguza stimulation wengine wataongezea pole sana kwa ttz lako
Du! kumbe ni kazi kwel kwel! sipati picha wakati wa shughuli ndani ya sekunde 60 jamaa anaanza kujivuta korodani mara ajibonyeze karibu na matako.... yaani full pilika... ha ha ha haaa nimecheka tena leo
hi hii............kaaazi kweli kweliDu! kumbe ni kazi kwel kwel! sipati picha wakati wa shughuli ndani ya sekunde 60 jamaa anaanza kujivuta korodani mara ajibonyeze karibu na matako.... yaani full pilika... ha ha ha haaa nimecheka tena leo
hahahaha una mambo wew mtoto ....Kamwe huwezi kufanya vyote simultaneously lazima unajaribu kimoja kimoja
mkuu tatizo umempa solution zote kwa mara moja.
Kuna hati hati mwenzio aka resort to medicine drinking na sijaribu kufanya hiyo exercise hapo juu.
Luku vere next time.
Hata hosp huwa wanatoa dozi moja ikishindwa ndo wanakupa superior dosage.
Thanks For Correction Bro nafikiri jamaa atakuwa amesikia mana atapia hizi maoni huku chini mkuu shukrani sana mkuu hekimatele
Wakuu poleni na majukumu!
Sina tatizo la uume kusimama (erection) kwani unasimama tena ngangari kweli kweli!
Tatizo langu ni kuwahi kufika kileleni yaani ndani ya dakika 1 na nusu tayari kwisha habari yangu baada ya dakika kama 10.
Unasimama tena lakini ndani ya dakika kama hizo tayari nimemwaga huku nikimwacha mke wangu anaugulia.
Je wataalamu nitumia mizizi ama dawa gani ili kunusuru ndoa yangu?
Natanguliza shukrani kwenu wataalamu.
Nitafanya hivyo mkuu.
Du! kumbe ni kazi kwel kwel! sipati picha wakati wa shughuli ndani ya sekunde 60 jamaa anaanza kujivuta korodani mara ajibonyeze karibu na matako.... yaani full pilika... ha ha ha haaa nimecheka tena leo